teh teh teh chiz kwelu weweMwanahamisi, mwanahawa, mwanaharamu, mwajuma, mwali, mwanajf, mwanahalisi, mwananchi, mwanafalsafa, mwanajeshi, mwalimu, mwaka mpya, mwana apolo, mwana sport, mwanangu, mwanachama.
Hua yakiwa na tafsir zake ....sasa huzijui?mwakatobe
mwakasala
mwakyoma
mwakisu
mwafilombe
mwaipopo
ukiona mnyaki anakajina kafupi na classic mwambie arefushe utashangaa ande kumbe ni andendekisye au andembwisye tuli ni tulinagwe! yananipaga raha sana, haya zamu yenu sasa.
hata Tupac aliliremba tu jina lake kibishororo lakini jina lake kabisa ni Atupakisye
Mwanahamisi, mwanahawa, mwanaharamu, mwajuma, mwali, mwanajf, mwanahalisi, mwananchi, mwanafalsafa, mwanajeshi, mwalimu, mwaka mpya, mwana apolo, mwana sport, mwanangu, mwanachama.