mkuu hilo nililoboard mbona halitamkiki
Nahisi ni kweli maana shule ni skuli, sabuni insopowakina tuntufye wanajiitaga tunty yaani full swaga afu eti ni kweli dirisha kwa kinyakyusa linaitwa iwindow
Mwanahamisi, mwanahawa, mwanaharamu, mwajuma, mwali, mwanajf, mwanahalisi, mwananchi, mwanafalsafa, mwanajeshi, mwalimu, mwaka mpya, mwana apolo, mwana sport, mwanangu, mwanachama.