Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,750
- 134,509
Kwanza hii ni kweli https://www.jamiiforums.com/threads...imepania-kufanya-kinyume-cha-maumbile.692849/Rasimu ya katiba iliyoandikwa na Mzee Warioba iliirejesha Tanganyika, ila Ccm waliiharibu kwa hila zao.
Muungano wetu ni muungano very uniqueWakili msomi Pascal Mayalla tia neno hapa tafadhali...
Kwa upande mmoja ni muungano wa union yaani nchi mbili zimeungana kuunda nchi moja mpya. Hizo nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na kuunda nchi moja, hivyo kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT or URT chini ya rais mmoja na Amiri Jeshi Mkuu mmoja. Hii ni fused state na haiwezi kuvunjika kamwe. Ule mkataba wa muungano yaani articles of union ni makubaliano tuu yaani ni an agreement na sio contract hili nimelifundisha humu https://www.jamiiforums.com/threads...ichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano.577999/
Kwa upande wa ndani ya muungano, muungano wetu ni federation wenye nchi mbili, serikali mbili, marais wawili. Sasa ndani ya mfumo huu wa federation ndio tunaweza kuanzisha serikali ya Tanganyika ila sio kuuvunja muungano.
P