Tufanye biashara hii, yenye hela

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9, toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact..

Mimi nauza kwa sasa sababu sijawa imara ktk kusafirisha hadi DSM
 
Mkuu kama wakina Michael dell wange kuwa kama wewe leo hii wasingekuwepo, mkuu tuko katika Dunia ya Ushindani na biashara za uchuuzi ni kuachana nazo,
Hebu niambie katika mkaa ukinunua kuna kitu gani unaongeza ili kuupa thamani? je unauwekea petrol ili uwake sana? Mkuu tutaachwa nyuma sana na hizi biashara zetu za zima moto,

Ni vizuri kuuza mkaa, ila je unataka kuwa wapi siku moja na huo mkuu? ni sustainable? au ni biashara za mwezi mmoja?
 
mkuu mm nina ajira yangu ya kudumu...tho usiamin kwamba unavyowaza ww ni sahihi! ni haitawezekana wote tukatokea njia uliotokea ww...mkaa unanilipa, nauza kuni, nafuga kuku wengi tu, nalima mashamba makubwa, vyote hivi vinanipa pesa...sasa kamandoo cjui wataka nifundisha nn
 
where different minds n experiences colide...ni biashara inayolipa ukiifanya kwa uvumiliv, endelea mkuu, uskatishwe tamaa na wa2 kama komandoo
 
mkuu mm nina ajira yangu ya kudumu...tho usiamin kwamba unavyowaza ww ni sahihi! ni haitawezekana wote tukatokea njia uliotokea ww...mkaa unanilipa, nauza kuni, nafuga kuku wengi tu, nalima mashamba makubwa, vyote hivi vinanipa pesa...sasa kamandoo cjui wataka nifundisha nn

Hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING

NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT

Ila take it from me mkuu the time is coming
 
..........
MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI,
ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING ...........

Komandoo you are out of touch with current news! Mkutano wa Rwanda unamalizika we ndo wautangaza kuwa uko kwenye maandalizi?! Jana (Ijumaa) kulikuwa na fursa ya kuhudhuria virtually from any part of the world!
 
hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal business na sio informal, ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

razima tuwe na biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

mfano : Kuna mkutano rwanda unaanza mwezi ujao kama sikosei na utawajumusiha wajasarimali wadogo kutoka nchi za asi, america ya kusini, ulaya na africa, hii ni bonge la furusa, na sijui ni watanzania wangapi wata atendi hiyo meeting

na mwsiho kabisa mimi sikufundishi na sijawa mwalimu kwa sababu hapa sio shule, ila tunajaribu kelimishana mimi mwenyewe nachota maujuzi ya kutosha kutoka kwa magreat

ila take it from me mkuu the time is coming

mi nina swali kidogo sijui mdau umewekeza kwe biashara gani inayokuvimbisha kichwa kuzicriticize biashara za wenzako mi naona kwa mazingira ya bongo jamaa anafanya ujasiriamali mzuri tu tusiwe watu wa kunyoshea watu vidole...it seems you like to talk that talk instead of do the talk.....mawazo yangu tu
 
hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING

NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT

Ila take it from me mkuu the time is coming
Mkuu umeongea mengi ila hamna point hata moja ya kumsaidia mtu,sana sana unataka tufaham we ni mtu wa namna gani.
wiseboy ametoa idea yake na ipo wazi inaeleweka ila unaandika essay isiyo na miguu,heshimu mawazo ya watu maana wengine wanaweza kuyafanyia kazi na wakafaidika
 
hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING

NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT

Ila take it from me mkuu the time is coming
mkuu baadae nta ku PM tushauriane katika maswala ya ujasiriamali
 
Kama biashara zote anazofanya kijana wa Mafinga siyo sustainable, Hebu mkuu tujuze kwa mjasiriliamali anayechipukia, biashara iliyo-sustainable ni ipi?
 
mkuu umeongea mengi ila hamna point hata moja ya kumsaidia mtu,sana sana unataka tufaham we ni mtu wa namna gani.
Wiseboy ametoa idea yake na ipo wazi inaeleweka ila unaandika essay isiyo na miguu,heshimu mawazo ya watu maana wengine wanaweza kuyafanyia kazi na wakafaidika

wewe ulitaka point gani? Wewe ulitaka ni msaidie nini? Tatizo mtu akiongea ukweli anaonekana hafai najua ulipenda ni mwambie tufanye wote, niliyo toa nazo michango na ukijumlisha unapata kitu hapo
 
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9...toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact...mi nauza kwa sasa 7bu cjawa imara ktk kusafirisha hadi DSM

Mi nipo tayari tufanye biashara ila, mi nataka nikusaidie pesa ya kusafirisha huo mzigo wako mpaka Dsm au sehemu yoyote unayoamini utauuza...!!! Ila lazima makubaliano yawepo,upo tayari...???
Au we shida yako ni kuu'uza ukiwa mafinga hautaki kusafiri...???
 
Mkuu Komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa TZ, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa TZ wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa TZ, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...
 
mkuu komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa tz, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa tz wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa tz, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...

ndo maana nimemwambia@komandoo asiwe mtu wa kutalk that talk ila awe mtu wa kufanya huyo mwanzilishi wa dell,au warren buffet wenyewe au mmiliki wa nike hawakuanza na biashara kubwa ila walianza na kidogo na kujiendeleza na sheria za ujasiliamali ukiweza kumanage kidogo ndivyo utakavyoweza kukuza kikubwa baadae...mimi aipendi mtu anashindwa kutuambia anafanya nn bali anachojua ni kulaumu tu...hata bakhresa mwenyewe alianza na kuuza kahawa ...look @ him now
 
Mkuu Komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa TZ, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa TZ wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa TZ, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...

Ni kweli mimi nikitoa Ushauri hapa watu hawapendi, kabisa, Tukumbuke huu wakati tukionao sio wa miaka ya Nyuma, kuna wawekezaji wanazidi kumiminika kutoka China, India, Ulaya, kenya na south africa, wanakuja kushindana na sisi, sasa sijui kama tutaweza kufurukuta,

1. Chukulia mfano wa Maduka- Mtu unkuta ana duka la rejareja miaka zaidi ya kumi hakuna mapinduzi yoyote yale, biashara hijagradutae from ndogo kwenda ya kati na hatimaye kubwa,

2. Chukulia mfano wewe una fuso lako moja au scania mbili- Huwezi kupumua zikija kampuni kubwa na kuwekeza kwenye Transport

Unacho sema ni kweli, tutashindwa Biashara tusipo kuwa siriasi it si tge matter of Time

MFANO- SOOTH AFRICA WANAUZA MAYAI, viazi, Machungwa, Nyama, Kuku na kazailika Tanzania- Na ukiwauliza hata Mabosi wa shoprite watakuambia wao hawajakataa biadhaa za watanzania ila wanacho anagalia ni ubora, na si kitu kingine kile,

Mfano-
1. Nyama- Hakuna mtanzania mwenye mawazo ya kuwa ana process nyama freshi na kupark wote tunawaza kuuza ngombe visiwa vya shelisheli

2. Mayai- Tembelea shoprite uone mayai ya south africa yalivyo pakiwa vizuri na yanavutia kwa kuyatazama tu, hilo kwa sisi tunaona si ishu, ubishi mwingi sana,

3, Angalia Machunwa na matunda yao- Yamepakiwa kwa utalaamu na yanavutia sana- Cheki machungwa ya Muheza Tanga, huwezi beba yale machungwa kama yalivyo na kuyapeleka Dukani,

4. Angalia Nyama ya kuku wa south africa- Unakuta wamepaki kwa viwango tofauti na napenda sana ile packeging yao, unaweza kuta mapaja ya kuku kama sita yamepakiwa kivyao, Njoo kwa watanzania, hatuna ubunifu kabisa tunabakia kulia lia tu,
 
ndo maana nimemwambia@komandoo asiwe mtu wa kutalk that talk ila awe mtu wa kufanya huyo mwanzilishi wa dell,au warren buffet wenyewe au mmiliki wa nike hawakuanza na biashara kubwa ila walianza na kidogo na kujiendeleza na sheria za ujasiliamali ukiweza kumanage kidogo ndivyo utakavyoweza kukuza kikubwa baadae...mimi aipendi mtu anashindwa kutuambia anafanya nn bali anachojua ni kulaumu tu...hata bakhresa mwenyewe alianza na kuuza kahawa ...look @ him now

Hujanipata kabisa, Mimi najaribu kueleza ukweli mkuu, Unapo Ingia kwenye Biashara kwa sasa Targeti kufika mbali sana,

Leo hii sisi tunabadili biashara kila kukicha na hii ni kwa sababu ya kufuata mkumbo, Tunafanya biashara za kufuata mkumbo tu, Leo hii mtu anakurupuka kufuga kuku kisa tu trei moja ni sh 6000 yaani yeye ameamua kufuga kuku kwa sababu kuku wanalipa, mtu anaamua kulima mahindi kwa sbabu inalipa, mkuu kwa staili hii hatutafika mbali,

Chukulia mfano wa Mkampuni ya Watanzania yakujenga Barabara- Hawa walijua Tanzania ni yao na wakaendela kufanya biashara ki primitive cheki sasa WACHINA WANAVYO SHIKA TENDA, watanzania walikuwa wanapata tenda badala waendelee kuimarisha kampuni zao wanakimbila kufanya vitu vya ajabu,

Kuna mzee mmoja alikuwa na kampuni yake ya UJENZI ana alikuwa akipata Tenda kwa enzi hizo lakini, ila cha ajabu pesa utakuta kanunua Haice, mara kajenga baa, mara gest, na leo hii kampuni yake ya ujenzi haipo tena na hivyo vyote havipo,

Na makampuni mengi ya WABONGO YA UKANDARASI YATAKUFA MAKE HAYATAWEZA KUSHINDANA NA WACHINA NA WAHINDI HATA SIKU MOJA, NA NDO TUKIHUBIRI KUUNGANISHA NGUVU WATU WANATUONA WA AJABU

So mkuu kwa sasa unapoingia kwenye Biashara targeti mbali na usitageti kutafuta Utajiri na hii ndo Ttaizo kubwa kuliko lote kwa WATANZANIA WENGI SANA, LEO HII UKIULIZA KILA MTU KWA NINI ANATAKA KUFANYA BIASHARA LABUDA YA NYUMBA ZA KUPANGISHA ATAKUAMBIA ZINALIPA, KILA MTU UTASIKIA KITU FULANI KINALIPA, KUKU WA NYAMAMA WANALIPA, MAYAI YANALIPA,

Ok vinalipa but how about tomorow? MAKANDARASI WA KITANZANIA WALIKUWA WANAAMINI BIASHARA ZA UKANDARASI ZINALIPA SANA, ILA WAMEKUJA WACHINA NA WAMETEKA SOKO NA WANAZIDI KUMIMINIKA TANZANIA,

Kosa kubwa walilofanya Makampuni ya Kitanzania, hawakujipanga kwa baadae, na sisi ndo hivyo hivyo tutakuwa kama Makampuni ya Ujenzi wa Barabara na Nyumba,

Mkuu kama ninavyo ongea ni Ijinga viache lakini haya maneno yangu utakuja kuyakumbuka siku moja si leo wala kesho wala kesho kutwa ila ipo siku

NB: Uliniuliza nafanya nini. Mimi nina consultance firm yangu A town
 
KOMANDOO nimekua nafatili uzi zako mbalimbali lakini naomba niwe wa kwanza kukikili kuwa post zako zote za kijasiriamali mimi nazikubali,kama wanaozikubali post zako ni wehu basi mi ni wakwanza kuwa mwehu
Nikirudi kwenye pointi,huwa nashangazwa sana na mtu ambaye anapenda alete hoja na analazima wote tuikubali kitu ambacho si kweli. KOMANDOO nimegundua kuna mpishano kati ya wewe na mleta mada,wewe unaongea kitaalamu na kwa mifano,mleta mada anaongea kwa jaziba na anaonekana hana kitu chocho anachojua kw
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wiseboy kauliza hivi
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9...toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact...mi nauza kwa sasa 7bu cjawa imara ktk kusafirisha hadi DSM
na hapa KOMANDOO kajibu hivi...
Mkuu kama wakina Michael dell wange kuwa kama wewe leo hii wasingekuwepo, mkuu tuko katika Dunia ya Ushindani na biashara za uchuuzi ni kuachana nazo,
Hebu niambie katika mkaa ukinunua kuna kitu gani unaongeza ili kuupa thamani? je unauwekea petrol ili uwake sana? Mkuu tutaachwa nyuma sana na hizi biashara zetu za zima moto,

Ni vizuri kuuza mkaa, ila je unataka kuwa wapi siku moja na huo mkuu? ni sustainable? au ni biashara za mwezi mmoja?

Swali je hata kama KOMANDOO anania ya kumsaidia wiseboy majibu aliyompa yanaendena na matakwa ya muuliza swali? sasa mkaa na Dell wapi na wapi, mara zima moto, mara........kama kejeli fulani hivi
Unaruhusiwa kumshauri mtu sawa lakini sasa hapa kinachogomba ni namna ya kumshauri huyo mtu

Wakati mwingine hizi theory za darasani zilzotungwa na akina Simth hazi apply sana huku mtaani jamani kuanzia mifumo yetu na mazingira na vipato vyetu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wiseboy kauliza hivi

na hapa KOMANDOO kajibu hivi...

Swali je hata kama KOMANDOO anania ya kumsaidia wiseboy majibu aliyompa yanaendena na matakwa ya muuliza swali? sasa mkaa na Dell wapi na wapi, mara zima moto, mara........kama kejeli fulani hivi
Unaruhusiwa kumshauri mtu sawa lakini sasa hapa kinachogomba ni namna ya kumshauri huyo mtu

Wakati mwingine hizi theory za darasani zilzotungwa na akina Simth hazi apply sana huku mtaani jamani kuanzia mifumo yetu na mazingira na vipato vyetu

MIMI NAONA INAENDA KUWA SIASA, theory ni zipi? na practicali ni zipi? Hapa naona ni bora nihamie jukwaa la SIASA KABISA MAKE MTU AKISEMA UKWELI ANAONEKANA MPOTOSHAJI, SITACHANGIA TENA THREAD HUMU ILI NISONEKANE NA POTOSHA,

MWISHO WA SIKU KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE, NITAKUWA NA POST TU ILA SITACHANGIA BAADHI YA THREAD,

NA NAZANI KIKUBWA KULIKO VYOTE TUACHE TIME IFANYE KAZI YAKE, ONE DAY TUTAKUJA KUULIZANA MBELE YA SAFARI
 
Back
Top Bottom