Tufanye biashara hii, yenye hela

Sisi binafsi tubapenda mtu akipinga jambo atoe solution yake sio unalalama tu na bila kuwambia watu wafanye nini hilo ni tatizo natumai komando utakuja na majibu ya tuache nini tufanye sio kuegemea upande mmoja tu.
 
nimepata mada ila mkosoaji bado hajathbitisha kwamba anataka kusaidia.biashara ya mkaa imebezwa afanye nini.
 
Hujanipata kabisa, Mimi najaribu kueleza ukweli mkuu, Unapo Ingia kwenye Biashara kwa sasa Targeti kufika mbali sana,

Leo hii sisi tunabadili biashara kila kukicha na hii ni kwa sababu ya kufuata mkumbo, Tunafanya biashara za kufuata mkumbo tu, Leo hii mtu anakurupuka kufuga kuku kisa tu trei moja ni sh 6000 yaani yeye ameamua kufuga kuku kwa sababu kuku wanalipa, mtu anaamua kulima mahindi kwa sbabu inalipa, mkuu kwa staili hii hatutafika mbali,

Chukulia mfano wa Mkampuni ya Watanzania yakujenga Barabara- Hawa walijua Tanzania ni yao na wakaendela kufanya biashara ki primitive cheki sasa WACHINA WANAVYO SHIKA TENDA, watanzania walikuwa wanapata tenda badala waendelee kuimarisha kampuni zao wanakimbila kufanya vitu vya ajabu,

Kuna mzee mmoja alikuwa na kampuni yake ya UJENZI ana alikuwa akipata Tenda kwa enzi hizo lakini, ila cha ajabu pesa utakuta kanunua Haice, mara kajenga baa, mara gest, na leo hii kampuni yake ya ujenzi haipo tena na hivyo vyote havipo,

Na makampuni mengi ya WABONGO YA UKANDARASI YATAKUFA MAKE HAYATAWEZA KUSHINDANA NA WACHINA NA WAHINDI HATA SIKU MOJA, NA NDO TUKIHUBIRI KUUNGANISHA NGUVU WATU WANATUONA WA AJABU

So mkuu kwa sasa unapoingia kwenye Biashara targeti mbali na usitageti kutafuta Utajiri na hii ndo Ttaizo kubwa kuliko lote kwa WATANZANIA WENGI SANA, LEO HII UKIULIZA KILA MTU KWA NINI ANATAKA KUFANYA BIASHARA LABUDA YA NYUMBA ZA KUPANGISHA ATAKUAMBIA ZINALIPA, KILA MTU UTASIKIA KITU FULANI KINALIPA, KUKU WA NYAMAMA WANALIPA, MAYAI YANALIPA,

Ok vinalipa but how about tomorow? MAKANDARASI WA KITANZANIA WALIKUWA WANAAMINI BIASHARA ZA UKANDARASI ZINALIPA SANA, ILA WAMEKUJA WACHINA NA WAMETEKA SOKO NA WANAZIDI KUMIMINIKA TANZANIA,

Kosa kubwa walilofanya Makampuni ya Kitanzania, hawakujipanga kwa baadae, na sisi ndo hivyo hivyo tutakuwa kama Makampuni ya Ujenzi wa Barabara na Nyumba,

Mkuu kama ninavyo ongea ni Ijinga viache lakini haya maneno yangu utakuja kuyakumbuka siku moja si leo wala kesho wala kesho kutwa ila ipo siku

NB: Uliniuliza nafanya nini. Mimi nina consultance firm yangu A town

Hata kuandika neno consultancy huwezi, kazi yenyewe utaweza wapi?
 
Wazo lake ni zuri, na kwa kuanza inafaa.. Let's back to the point, maana ya biashara ni kuwa na mfumo mpya wa kipekee na endelevu. Imetosha. Lakini si watu wote watakuwa wafanya biashara.. Waajiriwa, waliojiajiri, wafanyabiashara, na wawekezaji(haya ndiyo makundi manne hasimu duniani kifikra na kiakili, chagua ulipo na songa mbele) usikatishwe tamaa na mtu pia ukiambiwa ukweli kubali hata kama hujui jifunze
 
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9, toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact..

Mimi nauza kwa sasa sababu sijawa imara ktk kusafirisha hadi DSM
Contact pse
 
Hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING

NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT

Ila take it from me mkuu the time is coming
Tafadhari orodhesha hata tatu hizo sustainable biashara ni zipi?
 
Chasha Poultry Farm unapoint nzuri sana, na unachokisema kinatugharimu kama taiga, lakini hiyo mipango yote inahatua mkuu. Michael Dell hakuanzia hapo alipo japo alikua na vision ya kukua kwa biashara yake. Hata hivyo nafikiri unafaham ni kitu gani kimemkumba hivi karibuni pale alipoanza kuacha kazi yake kuu kufanywa na makampuni mengine.

Pili, naomba nikukosoe kukejeli waajiriwa, huenda wewe binafsi ukawa na mtizamo tofauti kuhusu kuajiriwa lakini haimaanishi kuajiriwa ni utumwa na aibu kama unavyodai. Nimeshuhudia ajira zikiwawezesha watu kujikwamua na kupiga hatua kimaendeleo sana.

Hata Huyo Dell anahitaji wataalam wakusimamia na kutumia ujuzi na maarifa ndio maana unaweza kuitolea mfano Dell kama miongoni mwa makampuni yaliyofanikiwa.
 
Moja ya biashara ambayo inaniumiza kabisa kwasababu najua kuwa inaharibu mazingira na si endelevu
 
komandoo naona unapata taabu ya kuwajibu watu wewe si ufanye lako mkuu maana utateseka kujibu hapa
 
Msichukulie jazba wakuu lengo ni kujifunza na kubadilishana mawazo na uzoefu nasio kutambiana ujuzi wa economic stabilities zetu.
 
Tusichukulie jazba wakuu lengo ni kubadilishana mawazo na uzoefu n' not otherwise!!
 
Wew
Hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa

Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,

Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,

MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING

NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT

Ila take it from me mkuu the time is coming
Wewe lazima utakua ni jamaa wa fursa forever living etc. Mnazarau biashara ambazo ndio zimetulea mnataka wote tuuze virutubisho na sabuni
 
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9, toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact..

Mimi nauza kwa sasa sababu sijawa imara ktk kusafirisha hadi DSM

Mkuu hivi kuingiza mkaa mijini inatakiwa niwe na kibali gani kwa uelewa wako?
 
Back
Top Bottom