Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

Wana gani hao embu leta taarifa na vithibitisho mkuu upate msaada vizuri
 
Ni kweli wanapiga ila ngoja wataalamu waje ,kuna dogo wangu anapost mambo ya mpira anapata engagement then anapiga pesa.
 
Naendelea kujifunza,ila JF kama yupo mtu anajua hii ishu tujuzane wana sio wana
 
Hii namkumbuka Kuna jamaa alikuwa anafanya 2019 ngoja nimuulize
 
Kwa utoto huo utasubiri sana
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… unataka dm yako wanase sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ