Tufahamiane Kwa kazi tunazofanya kuingiza vipato

Ni mtaalamu wa IT, ni software developer, kama unahitaji chochote kama, Website, Domain, HR and School software nicheki, pia nafanya domain hosting kwa gharama nafuu kabisa nicheki 0687535650
Website ni kuanzia 320000, inaweza panda kulingana na mahitaji ya mteja. Hiyo ni pamoja na gharama za hosting na Domain.
 
mchungaji kanisa langu lipo kibangu
Kanisa Gani Kiongozi Nataka kesho nije kusali kwako... Serious nakuja kama ni kweli Naomba uni pm unipe ukaribisho kesho ni visit Kwa ajili ya huduma.. Lisiwe tu lile LA viongozi wapiga tungi Hilo sitaliweza
 
Website ni kuanzia 320000, inaweza panda kulingana na mahitaji ya mteja. Hiyo ni pamoja na gharama za hosting na Domain.
Mkuu na je blog nzuri ya kibiashara inaanzia shiling ngapi na VIPI KUHUSU social network app na pia forum bei Gani Kuna jamaa alikuwa a Nauliza.. Nitajie bei then AKIWA tayari nikutafute wewe kupitia pm yako
 
Blog na app yake ni 150000 hii ni pamoja na gharama ya hosting kwa app tutakayokutengenezea.
 
Mkuu na je blog nzuri ya kibiashara inaanzia shiling ngapi na VIPI KUHUSU social network app na pia forum bei Gani Kuna jamaa alikuwa a Nauliza.. Nitajie bei then AKIWA tayari nikutafute wewe kupitia pm yako
Social networks na Forum ni kuanzia 390000+doman and Hosting.Tukikubaliana baada ya siku 3 kila kitu kinakuwa hewani
 
Wengi wamejiajiri wengine wameajiriwa wengine wako busy na biashara zao. Career ni nyingi. Baadhi hawana kabisa kazi.
Uzi huu special kufahamiana zaid Ila Kwa ufupi.. Andika kazi unayofanya
Tukianza na mimi mwenyewe bwana AFYA WA wilaya FULANI hapa nchini
mimi ni mpiga dili chamani
 
Back
Top Bottom