Tufahamiane Kwa kazi tunazofanya kuingiza vipato

Nimeota Sasa IV tutakuwaga hatufi tunateseka wee mpk kiama kifike
Maana yake ni kwamba hutakufa kiroho, ndo Maana watu wanateseka kiroho baada ya kufa kimwili.
Jitahidi kutenda mema hapa duniani ili alkhera uje uishi bila mateso.
 
Back
Top Bottom