Tuchambane hapa

Tuchambane hapa

Khaa! Mpk unitangazee?? Ndio maana mchafu hadi ukioga mtoni samaki wanatoka kupata hewa
enheee...!

twende...

Una sura ngumu mpaka umepatiwa nafasi ICU kama dawa ya nusu kaputi ili wagonjwa wapoteze fahamu mapema!

twende..
 
Twende twende tewnde! Uliambiwa useme mitsubishi ukasema mituni mbishi! Twende twende twende!
 
twende yani wewe ni mrefu mpaka ukinywa maziwa ya fresh yakifika tumboni yanakuwa ya mgando twende
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom