nawewe umekomaa hadi ukijiangalia kwenye kioo kinaona aibu
wacha uwongo sema kuitoa chukua chako mapema ni sawa na kumkanyaga sizimizi yaini chama cha zamani aka wakwamisha katiba pumbafuuhalooo! kuitoa ccm madarakani ni ngumu km kumtahiri fisi
Urefu kama una mpango wa kutonoa mbnguKwenu ni wavivu hadi kula
shingo nyembamba ka cable ya kuchajia simu
we ni muongo hadi unajidanganyaga mwenyewe