Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,453
- 2,393
Hahahaaaa....hii sio...
nawewe unaringa hadi NECTA uliringa kufanya
Khaa! Mpk unitangazee?? Ndio maana mchafu hadi ukioga mtoni samaki wanatoka kupata hewa
Hahahaaaa....hii sio...
nawewe unaringa hadi NECTA uliringa kufanya
Khaa! Mpk unitangazee?? Ndio maana mchafu hadi ukioga mtoni samaki wanatoka kupata hewa
Macho kama golori.....
endelea
kidevu ka kona ya godoro
twende twende masikio kama ungo
Patrickn anasema, una ulimi mrefu ka buti ya Wasira. Search Google uione ni Nouma I see!.
twende
1 mkewako m nene hadiakivaa shati jekundu watu wanajua kibanda cha M PESA
2kwenu kuchafu hadi mende wanakuja na viatu
kwenu mpo wengi hadi babayenu anatumia maik
mweusi hadi ukibeba mtoto anasinzia akidhani eti ni giza limeingia
ndo maana umekomaa mpaka ukifumba macho jicho linalia'koboo"
~Tv yenu kubwa had tom n jery wakikimbizana wanapumzka
~demu wako mnene had ukimpeleka movie anakaa next to everybody
~umekonda had ukisimama ukutani watu wanadhan ni ufa
~una mdomo mrefu had ukipiag chafya unajing'ata kifua
~mshamba had siku ya kwanza kununua ballgum ulisema hutaki ya kijani haijaiva
~mshamba had uligongwa na gari lililopaki
~mjinga hadi ulifeli blood test
.....haya kila mtu ajichagulie lake......