Tuchambane hapa

Tuchambane hapa

muone kwanza!

Unajiita miss wakat una umbo afazali ya asha boko!

Twende twende na njaa zako leo! Lol

Hilooo we wa wapi? We hujui kama kitambi fashion kila Dada wa Mjin ana kitambi mwangalie mwembamba kama fidodido
 
Kwenu ni wafupi sana mpaka mnatumia winchi kufikia meza wakati wa kula!

Twende...

Kwenu Tanesco wamegoma kuweka umeme sababu ya uchafu wenu..! Eti mnaweza kukwangua nyaya kwa harufu! Dah!
 
Urefu kama ngongoti,
 
ndo maana unamnunulia dem maji ya chupa Tsh.1200/= nawe unajinunulia ya kiroba ya Tsh.50...twenty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom