we fanya macho kama vidonda
twende twende.... ndo mana ulikuaga unasinzia darasani hadi wakakupa jina kepteni komba
Ukosefu wa ajira kwa vijana n bomu linalosubir kulipuka,,naona moshiii ushaanza fuka
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Ukosefu wa ajira kwa vijana n bomu linalosubir kulipuka,,naona moshiii ushaanza fuka
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
ndio maana una miguu minene kama toothpick ....
umekomaa mpaka unakula ugali na masendeuMacho kama golori.....
endelea
ndo maana unapenda ajira hadi ukaombaga ajira ya ukonda kwenye bajaji.... twende twende
ndio maana una miguu minene kama toothpick ....
Ufup mpaka uksmama kwenye piriton miguu haifk chn..twende twende
Ulikimbizwa na polisi ukaomba poo!.
hahaha ulienda zoo nyani wakakurushia ndizi wakijua ni mwenzao.....
haha.. pua ka filimbi ya mchawi
we ni mshamba hadi ulikua unataka kupanda "mountain dew"