Tuchambane hapa

Tuchambane hapa

Teh Teh Teh!. Nyusi ndefu ka mustache wa john komba.
 
hahahaha kaka ako ni HB ka Stephen wasirra

Teh Teh Teh!. Ulinunuliwa chai ya maziwa ukanywa ukaungua na kuanza kulia mother akakwambia, tema ukasema niteme utamu!, meza, ukasema nimeze moto!, kunywa maji, ukasema niharibu radha!. Hiii we noumaa!.
 
:A S 11::wacko:....................
 
Mdomo kama unamalizia kusema
k...a m....yo

Matege kama banio la sufuria

Pua kama mbilimbi

Mashavu kama una puliza moto
 
Sura mbayaaaa,ndio maana wanakutumia kuwafanya watoto wale.
 
Teh Teh Teh!. Ulinunuliwa chai ya maziwa ukanywa ukaungua na kuanza kulia mother akakwambia, tema ukasema niteme utamu!, meza, ukasema nimeze moto!, kunywa maji, ukasema niharibu radha!. Hiii we noumaa!.

Una sura ngumu kama futari ya magimbi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom