Tuchambane hapa

Tuchambane hapa

muone umekomaa mpaka ukifinya tairi ya gari inatokea panja
 
Dada zako wana sura mbaya hadi getini mmeandika oa mmoja upate mmoja bure..
 
ni kukosa kazi ama?ndio maana mlizaliwa bar mkaitwa tusker baridi
 
Wewe s ulizaliwa kanisani. Using'oe macho ka unaPUU kichakani. Kua mpole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom