Tubadilishe jina la pesa yetu

Tubadilishe jina la pesa yetu

Neno shilling halikutoka kwa waingereza limetoka kwa wajerumani schiĺing.Hata neno hela ni kijerumani Heler
Hata hivyo majina yapo mengi tu tukitaka kubadili.mfano
Ngawira,njuluku,mawe,mapene,kakakuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lugha duniani inayojitosheleza bila kukopa lugha nyingine.
Mfano neno Meli ni kireno
Meza Kireno
Baiskeli kingereza
Dini kiarabu
Shikamoo kireno
Jamii kiarabu
Kung'atuka kizanaki
Hata waingereza kuna maneno wame copy ya kiswahili wanayatumia Mfano
Safari,jembe,panga,ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakubwa wenzangu
Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu

SHILLING
Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa makoloni yake ya Africa mashariki yaani Kenya ,Uganda na Tanzania hata hivyo baada ya Uhuru makoloni haya yameshindwa kabisaa kubadilisha jina la pesa zao


CHA KUFANYA
Sisi watanzania kuendelea kuiita senti Mia moja Ni shilling moja Ni sawa kuendelea kumtukuza mzungu,tujivue ujinga huu na tuishinikiza serikali na benki kuu kuwa zama zimebadilika tunahitaji jina lingine pesa yetu lenye asili na sisi wabantu na si hii shillings tunayoiita leo

Kuendelea kutumia jina shilling Ni utumwa Tena utumwa usiojificha
NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app

Nachelea kusema kuwa nii dhana potofu sana na ni mawazo ya kikoloni, kudhani kuwa kila alichofanya mkoloni wa rangi nyeupe pindi akiwa hapa Afrika, ni kibaya. Zaidi ni ubaguzi wa rangi
 
Habari wakubwa wenzangu
Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu

SHILLING
Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa makoloni yake ya Africa mashariki yaani Kenya ,Uganda na Tanzania hata hivyo baada ya Uhuru makoloni haya yameshindwa kabisaa kubadilisha jina la pesa zao


CHA KUFANYA
Sisi watanzania kuendelea kuiita senti Mia moja Ni shilling moja Ni sawa kuendelea kumtukuza mzungu,tujivue ujinga huu na tuishinikiza serikali na benki kuu kuwa zama zimebadilika tunahitaji jina lingine pesa yetu lenye asili na sisi wabantu na si hii shillings tunayoiita leo

Kuendelea kutumia jina shilling Ni utumwa Tena utumwa usiojificha
NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikisha hoja yako hii, ubadilishe na jina lako la 'king' maana nalo linanukia ukoloni koloni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakubwa wenzangu
Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu

SHILLING
Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa makoloni yake ya Africa mashariki yaani Kenya ,Uganda na Tanzania hata hivyo baada ya Uhuru makoloni haya yameshindwa kabisaa kubadilisha jina la pesa zao


CHA KUFANYA
Sisi watanzania kuendelea kuiita senti Mia moja Ni shilling moja Ni sawa kuendelea kumtukuza mzungu,tujivue ujinga huu na tuishinikiza serikali na benki kuu kuwa zama zimebadilika tunahitaji jina lingine pesa yetu lenye asili na sisi wabantu na si hii shillings tunayoiita leo

Kuendelea kutumia jina shilling Ni utumwa Tena utumwa usiojificha
NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app


Ni mawazo mgando hayo, hiyo sababu uliyoitoa haina mantiki labda ungesema badala ya kutumia pesa za sarafu na noti zilizobuniwa na wazungu tutumie mfumo wa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa (barter system) kama walivyofanya babu zetu, hapo ningekuelewa. Pia tung'oe ile reli ya kati waliotuchia wakoloni wa kijerumani na tujenge yetu kwa malighafi zetu, kwasababu issue yako hapo ni kero ya "UKOLONI".
 
Back
Top Bottom