Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,420
- 40,398
Maisha ya mwanadamu hayatabiriki na hasa kutokana na majanga ya maradhi ya hapa na pale.
Mbaya zaidi nyakati hizi kuna maradhi yanapoteza uhai bila hata kujiandaa, umelala mzima unaamka marehemu.
Na kinachosikitisha zaidi unakuta mtu labda alikuwa na miaka 40, 30, 27, n.k na hakufanikiwa kuwa na mtoto hata wakusingiziwa.
Sasa inapotokea umefariki, unakuwa hujaacha alama yoyote hapa duniani zaidi ya kuwaachia ndugu zako majonzi tu.
Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama.