... ubongo wa binaadam naushindanishwi na komputa yeyote, iloyopo na ijayo, ... ubongo wa binaadam utaendelea kuabudiwa na akili unde zote!Tayari
Nna mashaka! watakuwa walisha-mtatua rinda huyu kabla hawaja m-recruit kuwa mmoja wao!
View: https://vm.tiktok.com/ZSXgmPns9/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
sawa bwana macebohTatizo kubwa la asilimia kubwa ya wabongo kujifanya wao tu ndio wana maono ya kuhukumu kwa kuona mtu fulani kapotea au kaharibikiwa
Mtu hakujui, hana uhusiano wa kindugu au urafiki na wewe unakaza shingo eti huyo kaharibikiwa muone huyo
Upumbavu mtupu
Yeye kaamua content creator kwenye mitandao ya kijamii, haijalishi anachofanya yeye kikupenedeze wewe
Hatembei uchi na kwanza anaonekana kaulamba hasa, kwa hela zake, kaja Dar kwa hela zake amabazo wewe kilaza unavyochungulia maudhui yake unamlipa halafu unabwabwaja eti huyu mwehu wakati wewe kula yako yenyewe ni mgogoro
Acheni upumbavu
Kwa ivo kula ya Mshana Jr ni mgogoro🥺...wakati wewe kula yako yenyewe ni mgogoro
Tatizo huanzia hapa... Wengi wanaogopa kuyasema wanayoyaamini ivo akitokea mpumbavu akayasema, wanamvika ushujaa.mlimpa mileage bila sababu za msingi, let the nigga fvck with your expectations.
Sikumtaja mtu jina, huo ujumbe una maudhui ya kijumla kuhusiana na tabia za wabongoKwa ivo kula ya Mshana Jr ni mgogoro🥺
On serious note huyu mzee anaumwa
View: https://vm.tiktok.com/ZSXpeyqoo/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZSXgmPns9/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Halafu kumbe anaishi geto🙌🏿🙌🏿🤔