Tuambizane ukweli, hivi ulishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki zisizoeleweka?

Tuambizane ukweli, hivi ulishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki zisizoeleweka?

Ni kweli ..vimbaumbau wanawake Wana roho za kutu sana roho mbaya sana na wanajiskia sana sana hata ukiwasalimia wanaona mavi tu ..ndio mana Hawanenepi sababu ya roho mbaya sana hata wale vipi hua wako vile vile sababu ya roho mbaaaaaya...
 
Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.

Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)

Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari. Wana viroho visivyoeleweka.

Huu ni utafiti binafsi.
Hana roho mbaya ila alikuwa mwizi balaa.
 
Kwahiyo mwanamke mwembamba akija kunenepa tabia nayo itabadilika? Au kibonge akikonda naye atabadilika tabia? Mie naona tabia/roho ya mtu na muonekane wake hata haviendani.
kuna ule unene wa natural ndo tunaongelea hapa, sio unene wa maternity au balehe
 
Naunga mkono hoja😂
Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.

Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)

Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari. Wana viroho visivyoeleweka.

Huu ni utafiti binafsi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom