Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

Kama ulikuwa unatamba mtaani umesoma chuo na hukusoma Kati ya vyuo hizi kwenye list jua ulikuwa unapoteza mda wako

Yaani Elimu yako ni uselessView attachment 1881250
Hata usome John Hopkins au Havard Kama huna watu wewe ni kiazi tu. Ngoja uhitimu utakuja kutulilia sisi maafisa ustawi tuliosomea mwalimu nyerere memorial , ukiomba angalau tukupe kazi ya kufundisha watoto wetu tuition ya PCM au PCB.

Suala la muda tu usije uchukia mchezo, chukia wachezaji.
 
Mtoa mada ikiwa fikra zako ndio zimeishia hapa, hakika wewe ni wa kuonea huruma.

SUKAH
 
Exceptional margins----They are very few and hence ignored in the X, Y graph. Peleka mwanao kwa vyuo vizuri.. Kama MIT etc.
Sio kupeleka Mtoto MIT tu pia ni lazima afahamu nyanja njema za kujua Dunia inahitaji nini kwa sasa, sisi tunawaza kukariri na kupata GPA huko MIT wako mbali zaidi kifikra zaidi ya Ugolo tulionao sisi hapa.
 
Back
Top Bottom