adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,712
- 8,068
Kwa jinsi maisha yalivyo mambo mengi yanahitajika sanaIla hapendi kujionyesha ata alikiba pia
Kwa jinsi maisha yalivyo mambo mengi yanahitajika sanaIla hapendi kujionyesha ata alikiba pia
Sasa kama hujasoma UD ukasome wapi tena?...Kama ulikuwa unatamba mtaani umesoma chuo na hukusoma Kati ya vyuo hizi kwenye list jua ulikuwa unapoteza mda wako
Yaani Elimu yako ni uselessView attachment 1881250
Huyo kasomea Tandale UniversityMondi kama Mondi alipitia UDSM
Mtoto aende shule na huku ukiwa baba au mama fundisha mbinu za kukabiliana na mitaa yetu hii ya TozoHuyo kasomea Tandale University
La sivyo tutaishia kuandika nyuzi za kusifia chuo na kutafuta connection za ajira na kukesha ajira portalMtoto aende shule na huku ukiwa baba au mama fundisha mbinu za kukabiliana na mitaa yetu hii ya Tozo
NakaziaMiaka minne au mitano ijayo ukiuona huu uzi utajiona ulikua bonge la fala.
[emoji3516]Hahah nimecheka sana
[emoji3516]Umeona kumuweka TEKU pekee haitoshi, umeamua kumpeleka campus ya Nkasi kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3516]Kwahiyo tuliosoma teku hamuioni kabisa elimu yetu?
Teku oyee!!![emoji3516]
TEKU NA MAKUMIRA TUKO VIZURI SANA MKUU, KAMA ECKENFORD VILE-
HASA KWENYE KIPENGELE CHA RESEARCH!!!
AU NASEMA UONGO WAKUU?
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
wewe philosopher acha kuwasanifu watuKwahiyo ambao chuo hatujafika kabisa inakuwaje?