Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,519
- 32,674
Huu uzi ni muhimu sana
Picha zina load taratibu taratibu,. Soon zitafungukaDada unaweza kuweka na picha walau tuone
Asikidanganye mtu huu uzi nimeupenda najiona nikinunua kila bidahaa ,tena huko songea lazima ninue madirisha ya aluminium nimpelekee bibi litapwasi na ninue showcase nikampe babu lilambo aufurahie
Acha woga weweJirani hiyo itakuwa ngumu, humu tunaishi watu tusiojulikana….!!
Ahsante ubarikiwePicha zina load taratibu taratibu,. Soon zitafunguka
Ninavyowachamba humu halafu niwape location uwiiiii si watakuja kunivamia na venyewe sina nguvu…!! 😹😹😹Acha woga wewe
Nipo mtaani nauza suraHellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Walishakusamehe😂Ninavyowachamba humu halafu niwape location uwiiiii si watakuja kunivamia na venyewe sina nguvu…!! 😹😹😹