Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

You obviously haven't met professional victims,watu ambao wana act like victims in situations they create,they thrive on the attention iwe positive or negative they are addicts kapost hili apate attention hii
Yes, it might look that way on paper but, honestly it's time for me to step out.
 
Najua psychology unaaga sababu mara ya kwanza umeaga ukapata attention now unaaga kila siku sababu people are feeding you well with every engagement iwe positive or negative hilo ndio unataka..
Mkuu, kama ni attention seeking, I've done it countless times in here na watu walijaa kwenye mfumo.

Sio kuaga tu, nimefanya hivyo kwa nyuzi nyingi sana. Na ninajua kuhusu hilo, ila wazo la mm kutoka humu nilikuwa nalo, toka unaanzisha uzi wa kwanza..

Mara ya kwanza sikuwa so specific, mguu mmoja ulikuwa ndani mwingine nje, ila baada ya kujihakikishia siwezi fani kisha vitu yangu huku nikiwa humu sasa natoka mazima. Sio option tena, it's a decision
 
Kila la kheri
 
Una buku hapo!!
 
Dogo, nimekuwa nikifuatilia nyuzi zako, and honestly, you’re always seeking attention kama mwanamke. Be a man. Is it really necessary kila mara kutuambia kwamba unaondoka? Did we call you here in the first place?

Zaidi ya kuandika ujinga na kutafuta attention, contribution yako kwenye hili jukwaa ni ipi? Kama umeamua kuondoka, ondoka tu kimya kimya. Hakuna anayehitaji taarifa ya kila hatua unayochukua.
 
Pengine ni madhara ya kupiga NYETOH.....
 
Ulikua unatafuta attention watu wakakupa sio kwamba wamejaa kwenye mfumo watu wengi humu wana Entertain Ujinga ujinga kupunguza stress tu na kusogeza masaa Sio kwamba wanajali Why unafikiri wanakupa attention?wanakujua?kuna mtu juu huko kasema unaweza kuzusha jambo baya hili tu uwe center of attention hapo unawaza DO THEY STILL CARE ABOUT ME?bro we never cared in the first place..

Soma post zako mara zote you create drama ambazo watu wata respond regardless iwe negative or positive..

Na usipopata attention Unasema platform ya ******* haina faida and blah blah hiyo kitaalamu inaitwa emotional escalation,..

Kwenu,kwa friends,mtaani,kazini,kwa mpenzi hupati attention??kwanini unafikiri wanakuupuza or wamatumbi wajinga sana with your intelligence hamuwezi kuelewana?
 
If that's all you know about me, then sina cha kuongezea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…