Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Kujipa tu umaarufu usio na faida we nani kwani Una mchango gani umegundua nini projects zako ziko wapi km hatuzijui pia hatuna haja ya kukujua zaidi hata ukitaka kufa kufa tu..NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
 
Acha zinaa na dhambi nyingine Jf haina shida
Sawa mkuu, ila kama, zilivyo Sehemu nyingine jf haina tofauti.

Ni mpango wa ku step down binafsi nilikuwa nao na umefika wakati wa kutekeleza sasa
 
Kujipa tu umaarufu usio na faida we nani kwani Una mchango gani umegundua nini projects zako ziko wapi km hatuzijui pia hatuna haja ya kukujua zaidi hata ukitaka kufa kufa tu..NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
Mkuu Usichukulie personal sana, this is a fairwell zone
 
Huyu akiendelea na hizi tabia anaweza anza kujifanyia matukio ili awe centre of attention.
Kila la kheri
Ila unayoyasema ni mawazo yako kuhusu mleta mada, na si ukweli halisi
 
Kuaga ni kitu cheka maana unakuwa umeacha kuliko toka salama na bila shari..

Lakini pia kuipa appreciation platform kwa vitu ulivyo gain kwa muda uliokuwepo
Lakini,awali kwenye uzi wako fulani ulieleza na kudai hakuna unacho-gain humu JF! Remember?Mimi nakutakia maago mema na insha'Allah,uende uendelee na mambo mengine.Aaaamiiin!
 
Lakini,awali kwenye uzi wako fulani ulieleza na kudai hakuna unacho-gain humu JF! Remember?Mimi nakutakia maago mema na insha'Allah,uende uendelee na mambo mengine.Aaaamiiin!
Niliyasema yale just kuzua taharuki wala sikuwa serious hata kidogo..
Humu nimegrow sana as a person, sikuwa hivi kipindi naingia 2021,nimejofunza mengi just by interacting na members humu.

Amon, amin.. Mkuu🙏
 
Kwenye ID yako nyingine kawe mwema punguza drama mkuu
Mkuu kama ilivyokuwa na hizi ID mbili zilizo ungwa nilikuwa na drama kote..

Sina tabia ya kujificha, na hata maswala ya ID nyingine siyawazii tena, maana haina maana kwangu na siwezi kukaa najificha ficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…