Tuachieni Nyerere Wetu

Tanzania bwana!!

Yaani kila anachofanyiwa Nyerere lazima afanyiwe Karume. By the way, hivi tulikuwa wapi miaka yote hiyo kuja na Karume day mpaka Nyerere alipotutoka!!?? Hata sarafu Karume alipewa baada ya manoti ya Nyerere kuapishwa. Tufikie mahali tukubali kuwa hawakuwa same class.
 
kweli hawakuwa same. maana karume kaanzisha tv ya Mwanzo. mwalimu yeye akipiga marufuku sabuni
 
labda dini yake haiwavutii chadema

Kwa wenye akili zetu tulijua ulikokuwa unaelekea. Mpo wengi mitakataka kama wewe. Karume hata wanawe wa kuwazaa wenyewe hawazuru kaburi lake hana sifa hizo.
 
Karume sio mwasisi wa taifa lolote lile duniani,

Mapinduzi hakuyafanya wala kuyaongoza yeye,

Siku ya mapindizi yeye alikuwa viunga vya Jiji la maraha la Daslamu.

Baba wa taifa la Zanzibar ni John Okello a.k.a Field Marshal

hata mwalimu ukisoma historia ya Uhuru wa tz hana nafasi. usianzishe maada nyengine ukakimbia ukumbi
 
Wanajihangaisha tu, saa hizi anakula virungu vya kudhulumu watu.

Hazidishiwi mwenye kudhulumu ila hasara.
 

Basi ndugu yangu usijiumize nafsi yako!

Hii hotuba yako ingefaa sana kusomwa kwenye hii kumbukumbu yake huyu dhalimu mkubwa! Mpingaji mkuu wa haki za binaadamu.
What more can we say!? Nyerere ni mzuka ambao bado unatuandama mpaka leo!
Kufa kaisha kufa lkn sisi bado tunateseka na alicho tuachia.
Na hakika Mungu kampa hukumu anayo stahili.
 
Karume sio mwasisi wa taifa lolote lile duniani,

Mapinduzi hakuyafanya wala kuyaongoza yeye,

Siku ya mapindizi yeye alikuwa viunga vya Jiji la maraha la Daslamu.

Baba wa taifa la Zanzibar ni John Okello a.k.a Field Marshal

Sasa kama ni okello alishindwaje kujitangazi rais wakati yeye ni kiongozi wa mapinduzi?
 
Ndugu wana wa nchi hii, eti leo viongozi na baadhi ya wananchi wameanza taratibu kwa kukumbushwa na rais KIKWETE kuwa na mjadala wa kuchagua siku ya kumuenzi NYERERE
KIKWETE anasema "ikiwa tutamuenzi kwa siku ya kuzaliwa itakua vizuri na itabidi tusherehekee kwa mbwembwe na hiyo ndiyo iitwe Nyerere day"
HAPA,Kikwete na wanao kuunga mkono nawapinga katika hili, TUMUAZIMISHE NYERERE,kwa vitendo alivyofanya kwa taifa hili,kuacha kujilimbikizia mali,kupunguza safari za nje ya nchi zisizo na tija,kuacha ufisadi n.k na si kwakupaka rangi kaburi au kuweka mashada ya maua huku tukiwa wezi na wahujumu uchumi huko ni KUMUASI NYERERE.
LAKINI,kwaserikali hii ya CCM SIAJABU UKASIKIA IMEUNDWA TUME NA KUPEWA MAMILIONI KWAAJILI YA KUKUSANYA MAONI YA KUMUENZI NYERERE! Hasa kwa ushauri wa viongozi wabovu kama LUKUVI,CHIKAWE NA WASILA
 

Kuwa mpole tu utakuja kuwaona kwani mambo mazuri hayahitaji haraka
 
tUMUENZI KWA LIPI ZURI?
 

Kwanza wewe si MTZ kulingana na kauli zako. Kujibizana na wewe ni Sawa na kumpigia Mbuzi gitaa, hatacheza.
 
Ni wazo zuri nimerisikia asubuhi leo Ktk kipindi cha TBC 1,ambapo kingunge alisema amefanya juhudi kubwa bila mafanikio ili ifanyike siku aliyozaliwa,kwan itajumuisha mengi.nadhan kingunge atakuwa amefurahi kwa hatua hiyo.
 
Kwanza wewe si MTZ kulingana na kauli zako. Kujibizana na wewe ni Sawa na kumpigia Mbuzi gitaa, hatacheza.

Manake Mtanzania ni yule mwenye kutetea dhulma sio!?

Na mwenye kudanganya watu usiku na mchana kuwa Nyerere alikuw Mtu mzuri sio??
Mwenye kutaka kumpa UTAKATIFU KIUMBE ALIYEUA VIUMBE WENZAKE BILA MAKOSA?

Aliefunga watu wasio na hatia zaidi ya miaka 30 kwa makosa aliyo fanya yeye!!!

Basi kama huo ndio UTANZANIA, nasema kula mwenyewe na hao wizi na wabadhilifu wenzako.

, mi ntabakia na unyamwezi wangu!!
 
Huyu lazima wakatoliki wamfanye mtakatifu!
Si kawabeba toka 1961! Kwa kuwakandamiza waislamu!

Sasa hakuna geni hapa!

Kahtaan Utakatifu wa Nyerere unategemea matendo yake aliyotenda duniani na wala siyo hayo uyafikiriayo.Pamoja na kwamba unamchukia sababu ni Mkatoliki au Mkristu japo haki yake mpe.Alitaifisha shule nyingi sana za wakatoliki basi wakatoliki wangemchukia.Na alifanya hayo ili hata wale wasiokuwa wakatoliki wapate elimu ndiyo nia na lengo lake.Usimuwekee mdomoni mwake mambo ambayo hakuyatenda.Jaribu kutafakari kwenye moyo wako ujione namna ambavyo udini umechukua moyo wako wote.kama binadamu ana mabaya aliyotenda hakuna mtu atakayekataa lakini matendo yake kwa mungu wake hakuna anayeyajua.Alikuwa muumini mzuri sana na alikuwa hakosi kusali kabla hajaenda kufanya kazi yoyote.Pigania umoja wa watanzania bila kujali dini ya mtu aliyonayo.Huku vijijini tunakoishi tunasaidina sana bila kujali dini ya mtu.Matatizo ya udini yako kwa wenye vyeo vyao lakini kwa kada ya chini kwenye misiba tunazikana,kwenye harusi tunakaribishana na kwenye shughuli za maendeleo hatuulizani wewe dini gani.Hebu jitahidi uache hizo propaganda hazitusaidii kama watanzania.
 
Jamani Kambarage hakuwa mtakatifu. Sio vibaya watu kuyapitia mabaya yake pia badala ya kumsifia tuuu kila siku. Anayo mengi tu ambayo ukiyasikia then utajiuliza ni kwa nini huyu mtu anatukuzwa sana na wengine wamethubutu eti kumpendekeza awe saint! mmmmmnnnnhhhhhh......................Loooooooooooooooord have mercy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…