Tuacheni ujinga, unafiki na mihemko. Afande Sele aachwe asisumbuliwe kabisa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,511
Katiba inasema kuna uhuru wa kuabudu. Afande Sele alitoa audio moja ambayo haikuwa na maadili au maneno mazuri. Alimtukana mungu.

Kuna watu wanataka ifanya issue.mimi naamini kwa uwezo wake mungu huyo anaweza jipigania. Mungu mkuu hahitaji jeshi la wanadamu kumpa support.

But zaidi sikusikia akimtaja mungu wa mtu yeyote. Why sasa muanze ifanya kuwa ni issue? Ni kukosa kazi,kutokuwa na elimu,kutokuwa na ufahamu na uwezo wa kufikiri.

Yeye anaamini mungu si kitu na ametoa lugha ya kuudhi kwa mungu.wewe unapata wapi ujasiri wa kusema kamtukana mungu wako? Na je mungu akiitwa aje atoe ushahidi ameumizwa kiasi gani na maneno ya afande sele atakuja?

Lakini ikiwa zikapita siku hizo zilizotamkwa na asipokufa je itamanisha huyo mungu hana lolote? Na je akifa ndani ya siku hizo itaaminisha wengine kuwa mungu alichukia?kuna tofauti gani ukagombana na jirani mchawi akasema kesho hufiki na usiku ukafa?je naye ni mungu?

Na sisi tumemkufuru mara ngapi kwa kutenda dhambi ? Afande Sele hajawah kuwa na akili timamu toka miaka mingi imepita wenye akili wala hatuhitaji kuhangaika naye. Zaidi mna m promote tu.

But simuungi mkono kwa lugha chafu aliyotumia. Mimi naamini Mungu wangu ana uwezo mkubwa na atajionesha uwezo wake. Si lazima mpaka afande sele amtambue. Hana haja. Na walio karibu naye wamuase kuacha tumia vitu vinavyomchanganya akili.
 
KILA mtu ana mungu wake mungu wake sele ameshindwa timiza matakwa ya sele,hawa mashehe wamekosea Sana wanakwenda aibika kama alivyoaibika mzee wa upako aliposema waandishi watakufa ikifika April waliondika habari zake akizozana na jirani zake.Mungu wa sele sio Allah wala Jehovah hapa mashehe wameonyesha upeo mdogo,angemtaja Mungu wao hapo SAwa.kama Mungu wa sele ni jua au bange na ameshindwa timiza matakwa ya sele hao wanaomuombea laana wanaomba kwa Mungu yupi.
 
Haaahaaahaa sheikh ubwabwa kawa hajji manara wa Mungu
Au na yeye anaendeleza uchawa kwa huyo Mungu kama watu Fulani hivi waliokua chawa wa mungu jiwe wa chato ili wapate teuzi ya umalaika udogo,
Nae shekhe anataka apate teuzi kusimamia foleni ya kujinyakulia mabikra 70 peponi
Haaahaaahaa!

Natania tu wadau!
 
Katiba inasema kuna uhuru wa kuabudu. Afande Sele alitoa audio moja ambayo haikuwa na maadili au maneno mazuri. Alimtukana mungu.

Kuna watu wanataka ifanya issue.mimi naamini kwa uwezo wake mungu huyo anaweza jipigania. Mungu mkuu hahitaji jeshi la wanadamu kumpa support.

But zaidi sikusikia akimtaja mungu wa mtu yeyote. Why sasa muanze ifanya kuwa ni issue? Ni kukosa kazi,kutokuwa na elimu,kutokuwa na ufahamu na uwezo wa kufikiri.

Yeye anaamini mungu si kitu na ametoa lugha ya kuudhi kwa mungu.wewe unapata wapi ujasiri wa kusema kamtukana mungu wako? Na je mungu akiitwa aje atoe ushahidi ameumizwa kiasi gani na maneno ya afande sele atakuja?

Lakini ikiwa zikapita siku hizo zilizotamkwa na asipokufa je itamanisha huyo mungu hana lolote? Na je akifa ndani ya siku hizo itaaminisha wengine kuwa mungu alichukia?kuna tofauti gani ukagombana na jirani mchawi akasema kesho hufiki na usiku ukafa?je naye ni mungu?

Na sisi tumemkufuru mara ngapi kwa kutenda dhambi ? Afande Sele hajawah kuwa na akili timamu toka miaka mingi imepita wenye akili wala hatuhitaji kuhangaika naye. Zaidi mna m promote tu.

But simuungi mkono kwa lugha chafu aliyotumia. Mimi naamini Mungu wangu ana uwezo mkubwa na atajionesha uwezo wake. Si lazima mpaka afande sele amtambue. Hana haja. Na walio karibu naye wamuase kuacha tumia vitu vinavyomchanganya akili.
ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom