migogoro yenu ya kimaslahi isiwafanye kumdhalilisha mama wa watu, nani anaweza kuwa na uwezo wakuipata hiyo video kama si watu ambao wako karibu na mama wa watu, hili si la kufumbiwa macho, tunaomba hatua za kisheria zilchukuliwe Tafadhali. kama kipaumbele wamepewa wengine fahamu wanauwezo kuliko wewe sasa inakuaje unatoa video ndio utapata nini, acheni ujinga bhana.