Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

migogoro yenu ya kimaslahi isiwafanye kumdhalilisha mama wa watu, nani anaweza kuwa na uwezo wakuipata hiyo video kama si watu ambao wako karibu na mama wa watu, hili si la kufumbiwa macho, tunaomba hatua za kisheria zilchukuliwe Tafadhali. kama kipaumbele wamepewa wengine fahamu wanauwezo kuliko wewe sasa inakuaje unatoa video ndio utapata nini, acheni ujinga bhana.
 
Ni video iliyojaa kwenye mitandao ya CCM, Karibu kila kada wa CCM mwenye simu ya Whatsapp ametumiwa au amemtumia mtu mwingine, tena wengi wao ni wanawake.
Wanaisambaza kama nyenzo ya kampeni za CCM, lakini watu wengi wenye hekima zao wameishia kuichukia na kuidharau kabisa CCM.
 
mama Regina alikua anaongea, pembeni yake kuna kijana akaanza kumshika mkono kumpapasa, mara baada ya kumshika mkono, akaenda mbele zaidi akamshika sehemu ya nyuma katika mwili wake (NYOSSO ACTION). haikua vizuri.
Lakini pia mama regina alikunywa pombe ikumbukwe sasa sijajuwa ni kwanini!?amefikia hatua ya kuwa mlevi katika kipindi hiki kigumu au anajichukulia vipi?!!na anatufundisha kitu gani!?
 
Kwa nini tuache matusi na kudhalilishana sasa hivi..??????tuendelee kama kawa na siku moja muasisi au mfadhili ataumbuka mchana kweupeeeee.
 
ila twende mbele turudi nyuma; ile video mmh sijui hata nisemaje' yule mchungaji kawezaje kupata ujasiri wa namna ile? je mpaka pale first lady kama yule anafa?? "......................" tutafakar #hapakazitu
 
Pole sana ila kumbuka mnayofanyia watu na nyie pamoja na mabwana zenu inawarudia, mbona mlimdhalilisha Dr. Slaa na wote mlikuwa mnapongezana. Hizi vitu mkiacha wote mambo itakuwa poa.

Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
 
CCM baada ya kuona matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya Lowassa hazisaidii chochote, wakaona bora wamdhalilishe na mama Regina Lowassa.
Lakini yote yana mwisho hayo, tarehe 25/Oktoba tutaionyesha dunia kuwa wanyonge tumeamua kufanya Mabadiliko katika nchi yetu.
 
Mimi huwa kuna vitu napatashida sana kuelewa.. ukiangalia ile video utaona yule kijana kazungusha mkono kwa nyuma wakati wote mama regina anaongea, sasa najiuliza kwanini hakumzuia tangu mwanzoni? alafu kwanini watu wa ukawa wavujishe hii video? nini lengo laa haya yote? ina maana hawamtaki lowasa katika chama hicho, ina maana wamemchoka mwanamama huyo katika chama? mimi sijui ila onyo langu la kwanza ni kwa hao vijana waliovujisha hiyo video... hili halikuwa wazo zuri hata kidogo jwa sababu sisi tuna wazazi na hakuna ambae angependa kuona mzazi wake anafanyiwa hivyo.;Ni hayo tu kwa leo
 
Baada ya kutafuna rasilimali za watanzania kwa ufisadi uliotukuka chini ya mbawa za Rais kikwete na familia yake, Ghalib S Mohamed Mwenyekiti wa kampuni ya Alosco inayomiliki makampuni mengine zaidi ya kumi ikiwemo Supermarket za Home Shopping Centre, sasa ndio ataongoza kamati ya ufundi ya wizi wa kura kuanzia tar 24 oktoba.

Ghalib akiwa pamoja na Faroukh Bagonza wa kampuni za mafuta ya TSN na Supermarket za TSN wame ratibu wizi wa kura kwa kuagiza masanduku yaliyo jaa makaratasi ya kupigia kura kutoka Msumbiji na vifaa vingine haramu vya kupigia kura ambavyo vimehifadhiwa kwenye Godauni (maghala) ya Faroukh Mtaa wa Gerezani, Mnazi moja.

Ghalib na Faroukh wakishirikiana na jangili mwenzao Abdulrahman Kinana wiki iliyopita wamenunua magari manne kutoka kampuni ya Toyota Tanzania Ltd iliyopo barabara ya Pugu. Magari hayo yatatumika kusafirisha makaratasi ya kura batili na kutumika kama magari feki ya wasimamizi wa kimataifa wa SADC. Mpango ni kupeleka gari mbili Zanzibar na mbili zitakuwa Tanzania Bara. Gari hizo aina ya Toyota Landcruiser Hardtop (2) zenye namba za usajili T 471 DFC na T 469 DFC zenye chasis namba TEEB71 – 90 - 7026583 na TEEB71 – 00 – 7026617. Pia wamenunua Toyota Hilux Double Cabin (2) zenye namba za usajili T 468 DFC na T 470 DFC zenye chasis namba AHTFR22G10 – 6105538 na AHTDR22G00 – 6105546.

Ghalib S Mohamed, fisadi na jangili ambae tangu rais Jakaya Kikwete aliposhika hatamu mwaka 2005, alipewa fursa za kufanya biashara bila kulipia ushuru bidhaa alizokuwa akiingiza nchini kwa ubia na familia ya Rais Jakaya Kikwete. Leo hii kupitia mianya hii ya kifisadi na unyonyaji wa jasho la watanzania, Ghalib ni moja kati ya matajiri wa kubwa Tanzania anae miliki Mali nyingi za kifahari, Majengo, Magari na biashara nyingi za nyuma ya pazia.

Ghalib ana miliki jumba lenye gharama ya bilioni 13 za kitanzania iliyo jengwa kwenye eneo la heka 11 huko Kinyerezi. Eneo hilo ambalo lilimefanya familia zaidi 33 kuhamishwa bila kibali maalum kwa ajili ya ujenzi wa jumba moja la mtu mmoja.

Ghalib huyu huyu ana miliki nyumba 4 Masaki na sasa ana malizia jumba lingine la kifahari mtaa wa Lincoln Masaki ambalo lina jengwa na wakandarasi kutoka china.

Ghalib ana miliki magari tofauti ya kifahari ikiwemo Rolls Royce, Bentley, Ferrari magari kadhaa aina ya Range Rover yenye thamani zaidi ya billioni 3 za kitanzania.

Kazi kubwa ya kifisadi ni ile ya usafirishaji bidhaa bila kulipa ushuru kupitia kampuni yake ya usafirishaji ya Silent Ocean inayosimamiwa na mdogo wake anaye itwa Salaah ambayo makao makuu yake yapo China. Salaah ambae kwa sasa amefanywa balozi mdogo wa Tanzania nchini China bila kuzingatia hiztoria yake ya uhalifu wa kutumia silaha na kutishia kuuwa watu kwenye kumbi tofauti za starehe, zaidi ya hapo salaah hana elimu wala historia ya kidiplomasia lakini uswahiba wa familia yao na JK umempa nafasi hii kubwa kabisa katika Taifa letu.

Leo hii Ghalib ndio nguzo kuu ya ufadhili wa CCM na familia za viongozi wa CCM. Kwa Lugha nyepesi, ghalib ndio anafanya mipango yote na mikakati ya CCM na Serikali iliyopo madarakani. Mkakati mkubwa alionao sasa ni huu wa kuartibu wizi wa kura ambao Ghalib na maswahiba wake wamemwaga pesa nyingi sana ili kufanikisha wizi mkubwa wa kura katika historia ya Taif hili wakijua dhahiri Magufuli hana asilimia 30 ya kura za Watanzania.
 
ila twende mbele turudi nyuma; ile video mmh sijui hata nisemaje' yule mchungaji kawezaje kupata ujasiri wa namna ile? je mpaka pale first lady kama yule anafa?? "......................" tutafakar #hapakazitu
 
Kwa nini tuache matusi na kudhalilishana sasa hivi..??????tuendelee kama kawa na siku moja muasisi au mfadhili ataumbuka mchana kweupeeeee.
Vijana kumbukeni maadili kidogo acheni kumdharirisha Mama REgina kwa kupewa elfu 10 na viroba....kumbukeni yule ni mama kama mama zenu tuwe wastaarabu.Pia mama Regina naye aache ulevi mbwa kama hajielewi hivi!!?Au ndio tabia yake?basi hatufai kuwa first lady maana hatutaki first lady Chapombe
 
Waonye wana CCM wenzako kwamba kura haziongezeki wa MITUSI.

Ila siasa za sasa hvi, its too much ila hao wahusika, huyo aliyefanya hiko kitendo na aliye leak hiyo video walikosea, asee. Na hauwezi jua ni nani, inawezekana ni vijana wa CDM wenyewe waamue kufanya hivo ili waharibu reputation ya wapinzani wao kwa kuwasingizia kuwa ni wao wamefanya hivyo.

Maana sasa hivi naona vijana wa UKAWAwanatangaza kuwa kuna video za EDO kuhama UKAWA zipo tayari, sasa nani anayejua kama zipo, kama si hao wanaolitangaza hilo.
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

siamini kama ni wewe iumeandika uzi huu. Kwa mara ya kwanza umeandika positive point kwa ukawa. ILA? Mbona na wewe ndani ya jukwaa hili ukisaidiwa na faiza foxy mmekua mstari wa mbele kumtukana lowasa? Juliana umesahau?

Kweli shetani akizeeka uwa malaika.

Kwenye list of shame ya watu walomchafua lowasa wewe ni no 7. Anyway mwenyezi mungu akusamehe kama umeweza kugundua hilo. Ila kumbuka kuna maisha baada ya 25.

Na hao wanaosambaza iyo video wajiandae who knows after 25?
 
Wewe Juliana Shonza ulimtusi vilivyo Dk Slaa, chama chako kimemtusi vilivyo Lowassa pale Mwanza, mbona ulikaa kimya? Huyo ******** a.k.a komredi Kipepe ndie kinara wa siasa za matusi ila mjue Watanzania TUMEWACHUKIA SANA SANA na adhabu yenu ipo karibu. Mmeshindwa hoja mnaleta matusi na kashfa. Yana mwisho haya. Someni kitabu cha Shaffi Adma Shaffi kiitwacho KULI

#LowassaNiRaisTanzania
#MabadilikoLazima
 
Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako, tungekua tunaishi ndani ya mfumo huu wa maisha hakika tungekuwa tunaishi maisha mwanzanana sana.. ila ubaya ni kwamba watu tunafanya ambavyo hatutamani kiufanyiwa...ila kwa vile tunawafanyia wengine sisi kwetu hatujali...pole sana mama regina kwa udhalilishaji huu... ila ni imani yangu kuwa tutajifunza kwenye hili, tuache kusambaza vitu vinavyoharibu maadili ya jamii...kabla hujaweka kitu kwenye mtandao, kaa tafakari kama ikiwa na wewe au mzazi wako amefanyiwa hivyo ingeuaje...Tafakari
 
Back
Top Bottom