Wewe ni jipu. Yaani nchi hii-hii yenye baraza la mitihani la taifa yaani NECTA linashindwa kulipa posho za walimu, asikari na mgambo walio simamia NECTA FORM IV 2015, mpaka leo na hizo posho zimekuwa deni la taifa. Harafu shirika lingine la umma la nchi hii - hii linamulipa mkurugenzi wake milioni 35 kwa mwezi harafu wewe unaona kama kawaida, aseee. Posho ile ilikuwa 40,000 kwa siku na kwa siku 8 tu, NECTA mpaka leo hawajalipa wanasubiri wahusika waandamane. Harafu wewe unaleta habari zako hapa. Kama anaona hatandewi haki aache kazi vijana wenye weledi kuliko hata huyo Mchechu ni wengi muno nchi hii, yeye arudi huko alikutoka akalipwe hiyo M75, na siyo aendelee kutuibia kwa habari zenu mbofu - mbofu. Watanzania acheni unafiki. Nitashangaa sana kuona mkurugenzi wa NIDA anatubuliwa harafu huyu Mchechu ambaye within 3 years anaingiza more than 1.2 billion kwa mshahara tu ukiaacha posho anazo jilipa. Ikifuatiliwa vizuri yawezekana posho zikazidi mshahara maana wakati wa Kikwete Tanzania ilikuwa imegeuzwa shamba la bibi. Nakuhakikishia huyu jamaa akibaki harafu Rais Magufuli akatumbuwa majipu mengine, 2020 atakuwa sehemu ya kampeni.Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Kama mshahara wake unalingana na anachokizalisha kwenye shirika kwa utendaji wake mzuri.....basi hapo hakuna tatizo ila kama mshahara wake mkubwa hauendani na utendaji wa kampuni kwa maana ya faida...basi hastahili kulipwa hicho kiwango......Ndugu kwanza sina ukaribu nae kwa namna yoyote ila namSupport kama Mtanzania mwenzangu anaeThubutu kufanyakazi ninachopinga humu wengi wanaendekeza uSWAHILI
Tena hawa wenye mishahara mikubwa kama hii ndio mchwa tunaowatafuta.........Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Ngoja wadau waje...watuambie....Mkatabata wake unasema aingizie serikali Tsh ngapi?
NHC imeingiza hazina kiasi gani cha pesa kama faida tangu aishike. Yeye ni banker, investment alizozifanya kwa niaba ya watanzania zina tija? NHC ina madeni kiasi gani? Nyumba wanazopangisha zinafanyiwa matengenezo yoyote kama wanavyofanya wenye nyumba wengine. Naomba Lukuvi akague hizi properties Mchechu alizoziridhi. Zitakazo kutwa vizuri wapangaji wenyewe wamekarabati. Lakini ni hizi hizi nyumba zinazomuweka mjini na kumpa huo mshahara aliouona ni haki yake.Ndugu yangu acha kulialia tafuta HELA unamlalamikia NEHEMIA kwani yeye ndio kawasababishia uMASKINI watanzani? Tatizo ccm
Hao vijana wako wamepata pesa wapi?Acha kukariri... Kuna vijana wengi tu wananunua hizo nyumba...
Na wengine wananunua alafu wanawapangishia vijana wanalipa kodi za mwezi kidogo kidogo..
Haya mwambieni mheshimiwa rais ampige chini Mchechu kwasababu ya milioni 35 tu kisha amtafute Mzungu azibe nafasi yake huku akilipwa milioni 70 kwa mwezi,maana hii ndiyo mentality ya Mbongo kuchukia mafanikio ya Mbongo mwenzie,lkn kwa wageni wala hatuna neno.
NHC imeingiza hazina kiasi gani cha pesa kama faida tangu aishike. Yeye ni banker, investment alizozifanya kwa niaba ya watanzania zina tija? NHC ina madeni kiasi gani? Nyumba wanazopangisha zinafanyiwa matengenezo yoyote kama wanavyofanya wenye nyumba wengine. Naomba Lukuvi akague hizi properties Mchechu alizoziridhi. Zitakazo kutwa vizuri wapangaji wenyewe wamekarabati. Lakini ni hizi hizi nyumba zinazomuweka mjini na kumpa huo mshahara aliouona ni haki yake.
Huu ni ulafi wa aina gani? wakati anajua mwalimu anapata laki tano, daktari anayeokoa maisha anapata labda milioni mbili? Kodi ya nyumba halipi, gari linajazwa mafuta na bila shaka hela ya entertainment anapewa.
Shame on him.
I however respect your stand on this matter. So let's agree to disagree.
Kwani raisi analipwa tsh.ngapi?Kwa hio shirika linajenga nyumba kwa watu "MATAJIRI"
Asilimia 95 ya watanzania ni MASIKINI
Hizo nyumba zina Umuhimu gani kwa wananchi?
Halafu...Mchechu aliomba jkazi NHC sema alibebwa na Luhanjo...sio kwamba alifuatwa
CBA Bank ndipo alipotoka....CBA bank haijawahi kuwa na mradi wa kujenga Nyumba
Come to Basics....Huwezi kulipa wakurugenzi mashahara zaidi ya Rais...Never.....Sio kwenye Public sector
Tshs 32 millions. ....inasemwa which is 400 mn a yearKwani raisi analipwa tsh.ngapi?
Hahitaji kutaja jina, hata kama hatuhui kusoma bado tuna macho tunaona.Naona umeamua kumchonganisha Mhe. Rais na Msechu kwa kusema Mhe. Rais anamuonea wivu???
Pili Mimi sikumsikia Mhe. Rais akitaja jina la Msechu. Kama kuna Ma CEO wengi wanalipwa hivi, ni kwanini kila mtu kamngangania Msechu??
Queen Esther
Kwenye Red ni wazi Lowassa hakukosea kusema Elimu, Elimu, Elimu.Inaonekana naww ni muathilika wa uPUUZI wa CCM kwamba NCHI hii maskini bakini hapo hapo mkiwa na Fulana za kijani na njano
Kikwete aliamua kusaka brain! Lkn ktk free labour market, lazima ufanye competition na taasisi nyingine lkn pia ukate jeuri ya mtu unayemtaka!Aliyeharibu ni Mkwere alichukua watu akawalete na mishahara yao ambayo iko nje ya scheme of service ya hizi taasisi ndio maana malalamiko hayataisha maana wasaidizi wake department directors amewaacha gap la hatari.
Wakati nafanya kazi Barrick Gold Mine, chief wangu alikuwa analipwa 18m na mimi nalipwa laki 8. Nkaona huu ni upuuzi kabisa. mimi naamka asubuhi, naingia site naleta data, mtu kaka kusubiria kuprocess data zangu, afu mie ujira ananizidi mara kumi na kitu. Huo ndo tunasema ubinafsi. Mnaomtetea jamaa, hiyo hela ni kubwa mno. Sasa wa chini yake analipwaje? gap kubwa sana sema mna macho but hamuoni. Hata hizo Agency zingine, huo woote ni wizi tu kwa watanzania wengine. Isitoshe, hizo nafasi wawaachie wengine pia maana wameshatosheka nao. wameshakusanya sana, waachie wengine nao wakusanye.Watu wana wivu tu na mchechu. Hata rais ana wivu na mchechu.
Watu kibao wanalipwa zaidi ya mchechu ila hawaongelewi. Mchechu yamemkuta hayo kisa tu alikua team lowassa.
Yule mama wa tanzania investment centre anakula 38+m, na wengine wa dawasco,tpdc,tcra,rea nk ila hawaguswi.
Ni wivu tu kwa mchechu. Sioni sababu ya kumuonea wivu mchechu.
Wakati nafanya kazi Barrick Gold Mine, chief wangu alikuwa analipwa 18m na mimi nalipwa laki 8. Nkaona huu ni upuuzi kabisa. mimi naamka asubuhi, naingia site naleta data, mtu kaka kusubiria kuprocess data zangu, afu mie ujira ananizidi mara kumi na kitu. Huo ndo tunasema ubinafsi. Mnaomtetea jamaa, hiyo hela ni kubwa mno. Sasa wa chini yake analipwaje? gap kubwa sana sema mna macho but hamuoni. Hata hizo Agency zingine, huo woote ni wizi tu kwa watanzania wengine. Isitoshe, hizo nafasi wawaachie wengine pia maana wameshatosheka nao. wameshakusanya sana, waachie wengine nao wakusanye.
Mimi ndiye nilibainisha huo mshahara kwenye mitandao. Kwa nafasi niliyonayo, nina rekodi ya mishahara yote ya Ma-DG wa sekta ya umma. Kwa kukusaidia tu, hakuna DG wa sekta ya umma ambae anafikia kiwango cha Mchechu katika mshahara...achilia mbali marupurupu...By the way, wengi wenu hata hamjui Mchechu aliingia vipi NHC....Ngoja tuwape info kwa uchache tu.Tena hiyo ndogo sana... Mchechu anastahili kulipa Million 70 kama wanavyolipwa DG wengine...
kipindi huyo Chief wako yeye anasota shuleni kupata maarifa nahisi wewe ulikua una unga unga life kitaani... asa hivi ana anza kula matunda ya elimu yake unaona kama mnastahili kua ktk level moja au kukaribiana....Wakati nafanya kazi Barrick Gold Mine, chief wangu alikuwa analipwa 18m na mimi nalipwa laki 8. Nkaona huu ni upuuzi kabisa. mimi naamka asubuhi, naingia site naleta data, mtu kaka kusubiria kuprocess data zangu, afu mie ujira ananizidi mara kumi na kitu. Huo ndo tunasema ubinafsi. Mnaomtetea jamaa, hiyo hela ni kubwa mno. Sasa wa chini yake analipwaje? gap kubwa sana sema mna macho but hamuoni. Hata hizo Agency zingine, huo woote ni wizi tu kwa watanzania wengine. Isitoshe, hizo nafasi wawaachie wengine pia maana wameshatosheka nao. wameshakusanya sana, waachie wengine nao wakusanye.