Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Status
Not open for further replies.
Watu hawapingi utendaji kazi wa mchechu bali wanapinga kiwango anacholipwa wanadai hakiendani na kile anachozalisha kwa serikali....
Nyie watu punguzeni majungu....CCM mbona wametawala hii NCHI zaidi ya miaka 50 bila tija yoyote mbona mnaendelea kuichagua....Angelipwa mzungu wala msingehoji kabla ya NEHEMIA mbona mlikuwa hamfunguia midomo yenu Wabongo sijui tukoje au nanyie mliitaka hiyo kz mkaikosa?
 
Watu hawapingi utendaji kazi wa mchechu bali wanapinga kiwango anacholipwa wanadai hakiendani na kile anachozalisha kwa serikali....
Mkuu Projects zimeanza mwaka juzi tu hapa.. Walikuwa na strategic plan ya 2010/11-2014/15 sasa labda muanze kujudge kulingana na strategic plan yao inavyosema... Hivi kweli Project ya miaka mitano tu mnataka tayari leo tuanze kufaidika?? Jamaa anapigana shirika lifikie BEP ili aanze kujenga nyumba kwa fedha zake wenyewe lakini watu wanataka kumkwamisha na kumkatisha tamaa... Tuachane na mambo ya kuwa na wasomi wengi, hebu pitia hilo profile lake huyo jamaa then upime kama hadeserve hiyo pesa anayolipwa...

Kingine tutachukua wa bei rahisi alafu atuangushe tushindwe hata kulipa hizo pesa tulizokopa... Acheni Mchechu apige kazi, muda aliopewa akishindwa kulifikisha shirika kule ambako serikali ilipanga ndio tumjudge...
 
Wewe utakua unafaidika kwa namna moja au ingine na hiyo Mil30 anayoipata Nehemia Mchechu.
Haiwezekani shirika la uma mkurugenzi wake alambe Mil30 kwa nchi kama Tanzania, bado hatujafikia huko. Kwa kazi ipi hasa?
Inaonekana naww ni muathilika wa uPUUZI wa CCM kwamba NCHI hii maskini bakini hapo hapo mkiwa na Fulana za kijani na njano
 
Mkuu Projects zimeanza mwaka juzi tu hapa.. Walikuwa na strategic plan ya 2010/11-2014/15 sasa labda muanze kujudge kulingana na strategic plan yao inavyosema... Hivi kweli Project ya miaka mitano tu mnataka tayari leo tuanze kufaidika?? Jamaa anapigana shirika lifikie BEP ili aanze kujenga nyumba kwa fedha zake wenyewe lakini watu wanataka kumkwamisha na kumkatisha tamaa... Tuachane na mambo ya kuwa na wasomi wengi, hebu pitia hilo profile lake huyo jamaa then upime kama hadeserve hiyo pesa anayolipwa...

Kingine tutachukua wa bei rahisi alafu atuangushe tushindwe hata kulipa hizo pesa tulizokopa... Acheni Mchechu apige kazi, muda aliopewa akishindwa kulifikisha shirika kule ambako serikali ilipanga ndio tumjudge...
Nimekusoma mkuu....
 
Hasara aliyotuingiza Mchechu tutakuja kuiona baadaye. Baada ya majipu ya mafisadi, wauza unga na wakwepaji kodi kutumbuliwa, mtanzania yupi kwa sasa atakuwa na uwezo wa kununua hizo nyumba? Anatumia gharama gani kurusha matangazo ya kutafuta wateja kwenye tv. Nyumba inayouzika kabla haijaisha hunyakuliwa. Labda wageni waruhusiwe kununua.
Acha kukariri... Kuna vijana wengi tu wananunua hizo nyumba...

Na wengine wananunua alafu wanawapangishia vijana wanalipa kodi za mwezi kidogo kidogo..
 
DG wa TANAPA alipwe mabilion mangapi!? Unajua sekta ya utalii inaingiza kiasi gani kwa nchi? Au Kamishna wa TRA tumlipe trillion ngapi? Tukitaka kila mtendaji anayekusanya raslimali kwa niaba ya serikali alipwe kulingana na anachokusanya....sijui kama tutafika.

Kwa kukusaidia tu....NHC chini ya Mchechi inatoa gawiwo la mil 200 kwa serikali kuu kila mwaka. Je, faida ya huyo Mchechu ipo wapi!?

Pia kama hujui, pesa zote anazopata kutokana na mauzo ya nyumba uwa zinatumika kulipa mikopo aliyoichota kwenye mabenki.
Ndugu usilete maneno ya KONA BAR hebu tuwekee uthibitisho wa kwamba NHC inachangia 200ml kwa mwaka acheni huu Upuuzi msipende kusafiria nyota za wenzenu
 
Kwani yeye tu ndio CEO ambaye shirika lake lina mchango mkubwa? Kwanza sijui NHC inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa. Kwa hoja yako basi DG wa TANAPA ndo anatakiwa ale hela ndefu maana tourism ina mchango mkubwa kwenye GDP ya nchi.

Mshahara unatakiwa uendane na faida kampuni inayotengeneza na siyo kiwango cha uwekezaji kwa mikopo mikubwa mikubwa. NHC imewekeza kwenye majengo mengi lakini shirika halipati faida ya ku-justify marupurupu makubwa mno kwa watendaji wake waku. Huo ndio ukweli.
 
Nyie watu punguzeni majungu....CCM mbona wametawala hii NCHI zaidi ya miaka 50 bila tija yoyote mbona mnaendelea kuichagua....Angelipwa mzungu wala msingehoji kabla ya NEHEMIA mbona mlikuwa hamfunguia midomo yenu Wabongo sijui tukoje au nanyie mliitaka hiyo kz mkaikosa?
Mkuu mbona povu linakutoka kama unasukutua na omo....kwani huo mshahara wa Mchechu wewe unafaidika nao vipi...au wewe ni shemeji yako.....let us mind our own bussness....
 
Swala ni kuwa na mishahara ktk ratio sawa kwa watumishi wa serikali na mashirika ya umma . Hizi tofauti zisiwe kubwa sana kati ya watumishi hapa tatizo ni board za mashirika ya umma kulipana mishahara mikubwa sana na posho huku michango ya mashirika hayo ktk pato la taifa ni kidogo sana . Tunajenga tanzania mpya ambayo kila mmoja atafaidi keki ya taifa lazima Serikali sasa itoe utaratibu ktk uwiano Sawa kwa mishahara ya watumishi wake. Mtoa mada don't look only one side of the coin .
 
Mshahara unatakiwa uendane na faida kampuni inayotengeneza na siyo kiwango cha uwekezaji kwa mikopo mikubwa mikubwa. NHC imewekeza kwenye majengo mengi lakini shirika halipati faida ya ku-justify marupurupu makubwa mno kwa watendaji wake waku. Huo ndio ukweli.
Timu inaposajili kocha inaingia nae mkataba, ndani ya mkataba kuna kuwa na mshahara ambao watanegotiate lakini pia board itampa kocha expectations za kilabu chao... Akishindwa kuwezesha hizo ndoto ndio hufukuzwa... Mpaka sasa Nehemia yupo sahihi ndio maana bado board imemuacha na bado analipwa huo mshahara..
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako wa kina....haya ndio niliyokuwa nayataka na sio bra bra.....

Kwa mujibu wa maelezo yako( kama ni kweli) basi nami naungana na wadau wanaopinga mshahara wa huyo bwana.....kama hicho ndicho anachoizalishia serikali....
Sisi watanzania ni watu wa kuchezewa akili na wanasiasa. Kwani aliyempa ajira ya 35 mln ni nani!? Si hao hao wenzake akina Magufuli waliomuweka Ikulu?
Kama tatizo ni mishahara Mikubwa, mbona hapunguzi mishahara ya Marais wastaafu ambao kwa kila mmoja anabeba 380milion, hivi kuna mtu analipwa pesa nyingi kama Rais hapa Tanzania!? Wabunge na mawaziri Je!? Nasikitika saana nikiona Watanzania akili zetu zinavyochezewa na hawa watu. Mbona yeye hataji mshahara wake!? Kinachotokea mimi naona ni usanii tuu.
 
Mtanzania hapendi mwenzake afanikiwe, ukifanikiwa maneno ukiwa masikini maneno pia
 
Mkuu minuz naona unamwagika povu sikidogo wakati wenzio wanamaanisha Shule wee ulikuwa unarusha vishada pole
 
Naona umeamua kumchonganisha Mhe. Rais na Msechu kwa kusema Mhe. Rais anamuonea wivu???

Pili Mimi sikumsikia Mhe. Rais akitaja jina la Msechu. Kama kuna Ma CEO wengi wanalipwa hivi, ni kwanini kila mtu kamngangania Msechu??

Queen Esther

Watu wana wivu tu na mchechu. Hata rais ana wivu na mchechu.

Watu kibao wanalipwa zaidi ya mchechu ila hawaongelewi. Mchechu yamemkuta hayo kisa tu alikua team lowassa.

Yule mama wa tanzania investment centre anakula 38+m, na wengine wa dawasco,tpdc,tcra,rea nk ila hawaguswi.

Ni wivu tu kwa mchechu. Sioni sababu ya kumuonea wivu mchechu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom