Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Status
Not open for further replies.
Sitetei mshahara wake, natetea creativity yake. Ni yeye ambaye alikuja na wazo la nyumba zote za NHC kupakwa rangi ya pinki. Alipokwenda kwenye mabenki ikawa rahisi kupewa mikopo, ikawa rahisi kuaminiwa kwanini haikuwa taabu kwa wamiliki wa mabenki kuzitambua nyumba zote zilizokuwa chini ya NHC. Aliyepita mbona hakuweza kuwa na ubunifu wa aina hiyo?. Hivi sasa shirika linajenga nyumba nyingi kila kona ya Tanzania, inawezekana leo hii nyumba hizo hazina wapangaji/wanunuzi, lakini tukumbuke kuwa lengo ni Tanzania ya watu wa kipato cha kati. Maana yake ni kwamba wateja wengi wa nyumba hizi watapatikana siku za mbeleni, kadri ambavyo uzalishaji wa viwanda utakavyoleta tija, kadri ambavyo uwezo wa mtanzania wa kawaida wa kuyamudu maisha yake utakavyoongezeka.

Siwezi kuuongelea mshahara wa Nehemia Mchechu, at least ninajiona kama ninao wajibu wa kuheshimu ubunifu wake mpaka akaweza kuyavuta mabenki yakaipatia NHC fedha nyingi za ujenzi wa nyumba, ambazo nyingi kati ya hizo zitakuja kuwafaa watanzania katika siku zijazo.
 
Hoja mzuri ..hizi

Kuliko kujikita kwenye kujadili milioni 35 ......hiyo kwa kawaida ni pesa nyingi ....lakini ukibadili ni dola 15,500 tu ......Sasa hiyo ndio pesa ya kuteka mijadaala ....naelewa Mtu anayeongelea utendaji wa Mtu ...
 
Watu na waache kushabikia ufisadi. Kama ni kweli analipwa mshahara huo basi ni kufuru. Aende huko kwenye private sector akalipwe hata Bilioni 1 kwa mwezi lakini kwenye mashirika ya umma haiwezi kuwa hivyo. Kwani yeye ni Mungu? Shirika la nyumba lilikuwa na hali mbaya kwa sababu ya usimamizi mbovu na mambo ya kulindana. Mimi siamini kama kuna mtu anayetakiwa kupewa uopendeleo uliopita mipaka kwenye utumishi wa umma. Kama ni hivyo JPM anayetutumbulia majipu alipwe kiasi gani? Akubali kupunguziwa mshahara au aende zake.
 
Mkuu, hakuna creativity yoyote hapo. Anatimiza wajibu wake tu wa kawaida. Huo mshahara ni mkubwa sana. Ni ufisadi uliohalalishwa. Leo ukisiakia Rais analipwa Bilioni 2 kwa mwezi utapiga kelele?
 
Mkuu watu wanaajili MTU anaeajirika jiulize kwanini hukupewa ww hiyo kazi Piga kazi watu waone uwezo wako Ulipwe pesa nyingi wee umejificha nyuma keyboard then unataka jamaa apunguziwe HELA waBONGO tuache blah blah kila MTU kwenye nafasi aliyopo haijalishi sector binafsi Serikalini au umejiajiri mwenyewe ukionyesha juhudi Inalipa
 
Mkuu inaoenekana umezoea Mshahara wako wa Laki MBILI na KODI humo humo....acha blah blah FANYAKAZI watu waone uwezo wako
 
Nakazana mkuu, Lakini kwani unaujua uwezo wangu na una hakika haulingani na huyo anayelipwa Mil 35? maana tayari umesema mimi nimezoea laki mbili! Na nyie ndio wale mnaoamini watu wanaolipwa kidogo wanastahili hivyo kwa vile ni wavivu na hawana elimu kubwa. Shame on you.
 
Mkuu watu wanaajili MTU anaeajirika jiulize kwanini hukupewa ww hiyo kazi Piga kazi watu waone uwezo wako Ulipwe pesa nyingi wee umejificha nyuma keyboard then unataka jamaa apunguziwe HELA waBONGO tuache blah blah kila MTU kwenye nafasi aliyopo haijalishi sector binafsi Serikalini au umejiajiri mwenyewe ukionyesha juhudi Inalipa

Ulishauliza madaktari bingwa na wanaookoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili wanalipwa kiasi gani?. Halafu, mkuu nakushauri jifunze kutumia neno "bla bla", maana unalitumia hata kujaribu kuhalalisha hoja hafifu.
 
Mkuu, hakuna creativity yoyote hapo. Anatimiza wajibu wake tu wa kawaida. Huo mshahara ni mkubwa sana. Ni ufisadi uliohalalishwa. Leo ukisiakia Rais analipwa Bilioni 2 kwa mwezi utapiga kelele?

Mimi Nikiwa na kazi yangu sifanyi na Mtu cheap..ambaye kazi anafika saa tatu anasoma magazeti ...saa nne chai ,..saa 5 angus file 2...,, saa 6 chakula Hadi saa 9 ..then file mmoja ...alafu huyooo home ,...au anataka Tena overtime ......yet Mtu akilipwa vizuri analalamika
 
Ulishauliza madaktari bingwa na wanaookoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili wanalipwa kiasi gani?. Halafu, mkuu nakushauri jifunze kutumia neno "bla bla", maana unalitumia hata kujaribu kuhalalisha hoja hafifu.
Hoja hafifu kivipi ndugu....Kwahiyo nawee ni Dr wa Muhimbili unataka kuongezewa Mshahara?
 
Wa TZ tuachekuwa narrow-minded-people kujadili watu badala ya ideas. Kama huyu bwana ana mawazo mazuri kwa taifa kwa nini asitunzwe vizuri! Ninachofahamu mimi nhc ilianza na nyumba zilizonyanganywa kwa watu fulani na baadae kujenga nyumba zake ambazo hazikuwa na mvuto sana na sasa tunaona miji ya kisasa ya nhc. Je haya mawazo yana thamani gani? Kuna watu wengi kwenye vituo vya mabasi wanalipwa kwa kusema basi linakwenda wapi ilhali mabasi hayo yameandikwa. Mbona hamlalamikii hiyo nguvu kazi inayopotea bureeeee

Hehehehe. Bosi ulitaka kusema nini?
 
Watu wana wivu tu na mchechu. Hata rais ana wivu na mchechu.

Watu kibao wanalipwa zaidi ya mchechu ila hawaongelewi. Mchechu yamemkuta hayo kisa tu alikua team lowassa.

Yule mama wa tanzania investment centre anakula 38+m, na wengine wa dawasco,tpdc,tcra,rea nk ila hawaguswi.

Ni wivu tu kwa mchechu. Sioni sababu ya kumuonea wivu mchechu.
Kodi za nyumba ziko juu sana kwa watu weusi. Unakuja unaropoka eti "ka m30" hivi we unayajua maisha ya watanzania walio wengi kweli wewe!
 
Navyojua mm kuna vitu hatuvijui kuhusu huyu jamaa wanayesema anaonewa wivu.najiuliza haya maje go anayojenga anajenga kwa ajili ya watu gani ? Nyumba 650millioni kwa akili ya kawaida ukipewa pesa kama hiyo na kiwanja Tegeta utatoa nyumba ya namna gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom