Acha bange wewe kijana... Kama mnamdanganya huyo Msukuma wenu hivyo basi mtoeni mueke kada wa chama hapo alafu muone atakapowafikisha...
Unashangaa Mchechu kulipwa zaidi ya Katibu Mkuu na Waziri lakini unajua DG wa Tanesco analipwa zaidi ya Katibu wake mkuu na waziri pia... Unajua DG wa Tanapa analipwa zaidi ya Katibu Mkuu wa Utalii na Waziri wake?? Na wa Ewura je?? Sasa povu haliwatoki kote huko ila linawatoka kwa Mchechu tu... Alafu unasema kabisa kajipangia mshahara, sijui uzoefu kazini, we pimbi kweli, Bade alikuwa na uzoefu gani mpaka akapewa TRA na kuachwa makamishna kibao pale bila kupandishwa?? Kama mnamtafutia kada hiyo nafasi hapo mpeni haraka sana, wapo akina Rage, Masaburi na wengine waliokosa ubunge muwape hiyo nafasi alafu muone matokeo...