Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Status
Not open for further replies.
He does not deserve to be paid such big amount of money period! 35M for what?? Let's be serious ah ah!
 
Mafanikio ganiiiiii? Kwanza huyo hakufuatwa na Serikali inaonekana ulianzisha mada hii umesahau Mada iliyomhusu Mchechu humu JF pindi Jengo refu la Indira Gandhi lilipo poromoka na kuua watanzania kibao. Huyu Mchechu aliomba kazi kitambo kupitia Shirika moja la Kimataifa katika Usaili na linaloheshimika sana Tanzania na Duniani kote. Alifeli katika michakato ya usaili lakini Figisufigisu zikafanywa akapewa ulaji kwa maslahi ya watu. Hivi wewe ukipewa MAHELA na support yote kutoka Serikali tena na mihela mingine ni mideni kwa Serikali utashindwa kusimamisha mijengo? Hebu niambie Nyumba ya bei nafuu ni Mil. 60 - 80 ya vyumba 3? Halafu Viwanja anajiuzia mwenyewe. Huyu cheki bobu alizani Kijibenki alichokuwa anakiongoza ni sawa na kitu kinaitwa SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA lidude,kubwa. Matokeo yake kaingia kichwakichwa kimenuka kudadadeki... eti mshahara Mil. 35. Anakula nini? anaishi wapi? labda Dubai kila jioni baada ya masaa ya kazi anachukua ndege ya kukodi anarudi kupumzika hadi kesho yake kazini. Vinginevyo aje hapa ajustify matumizi ya Mil. 35. Jipu hili.

Ukikutana mahali na Magufuli, akakuomba ushauri, ucjarbu kumpa mana umejaa moyo wa husda sana....badlika, hyo ni destiny ya failures
 
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.... KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafs yaje baadae.. Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejukita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Et tu kwa kiwango tunacho kiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M. Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye ataasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaid kwasababu ni waz shirika likisha kuwa kinapumulia mipira. NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo. NhC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na yTatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nn? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini. Thts true but we hv to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge. So kama kuna wtu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu. Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivwanakula mpaka M75. Ifike mahali tusissukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.

Wewe utakua unafaidika kwa namna moja au ingine na hiyo Mil30 anayoipata Nehemia Mchechu.
Haiwezekani shirika la uma mkurugenzi wake alambe Mil30 kwa nchi kama Tanzania, bado hatujafikia huko. Kwa kazi ipi hasa?
 
Mleta uzi aseme mambo anayoyafahamu fika na kwa kina na asiseme mambo anayodhani anayajua, aje aseme hapa sheria ya NHC inasemaje, aje atuambie kama iliwahi kubadilishwa na pia aseme je zile nyumba za mabibo hazikuwa za NHC? NHC ya Nyerere na alokabidhiwa huyo anayesema anaonewa wivu zina lengomoja au malengo tofauti?
 
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.

KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.

Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.

Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.

NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.

NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.

Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.

Mafanikio ganiiiiii? Kwanza huyo hakufuatwa na Serikali inaonekana ulianzisha mada hii umesahau Mada iliyomhusu Mchechu humu JF pindi Jengo refu la Indira Gandhi lilipo poromoka na kuua watanzania kibao. Huyu Mchechu aliomba kazi kitambo kupitia Shirika moja la Kimataifa katika Usaili na linaloheshimika sana Tanzania na Duniani kote. Alifeli katika michakato ya usaili lakini Figisufigisu zikafanywa akapewa ulaji kwa maslahi ya watu. Hivi wewe ukipewa MAHELA na support yote kutoka Serikali tena na mihela mingine ni mideni kwa Serikali utashindwa kusimamisha mijengo? Hebu niambie Nyumba ya bei nafuu ni Mil. 60 - 80 ya vyumba 3? Halafu Viwanja anajiuzia mwenyewe. Huyu cheki bobu alizani Kijibenki alichokuwa anakiongoza ni sawa na kitu kinaitwa SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA lidude,kubwa. Matokeo yake kaingia kichwakichwa kimenuka kudadadeki... eti mshahara Mil. 35. Anakula nini? anaishi wapi? labda Dubai kila jioni baada ya masaa ya kazi anachukua ndege ya kukodi anarudi kupumzika hadi kesho yake kazini. Vinginevyo aje hapa ajustify matumizi ya Mil. 35. Jipu hili.

So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.

Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
 
Mchechu anastahili huo mshahara.. Kama serikali inaona huo mshahara ni ghali kuliko perfomance yake watafute DG wakumlipa laki 8 anayepga dili za M100 kwa mwezi..
 
Wadau embu tuweke hisia za wivu na chuki pembeni na tuijadili mada katika sura halisi.....
TUANGALIE KUWA HUYO DG ANALIINGIZIA TAIFA KIASI GANI CHA SHILINGI KAMA FAIDA KUPITIA UTENDAJI WAKE.......na kwa kipindi cha utumishi wake ameliinua shirika kwa kiwango gani....na mpaka sasa hivi hilo shirika linaendesha miradi ya kiasi gani nchi nzima.....alafu ndio tuje kwenye kiasi anacholipwa huyo mwenye mamlaka ya kuyasimamia hayo yote....je kina stahili na kile tunachokiona........

Vnginevyo huu mjadala utakuwa kama wa mashangingi ya magomeni au ilala......

Hata mimi nisingekubali kusimamia mradi wa mamilioni ya shilingi alafu nilipwe vijisenti.....
DG wa TANAPA alipwe mabilion mangapi!? Unajua sekta ya utalii inaingiza kiasi gani kwa nchi? Au Kamishna wa TRA tumlipe trillion ngapi? Tukitaka kila mtendaji anayekusanya raslimali kwa niaba ya serikali alipwe kulingana na anachokusanya....sijui kama tutafika.

Kwa kukusaidia tu....NHC chini ya Mchechi inatoa gawiwo la mil 200 kwa serikali kuu kila mwaka. Je, faida ya huyo Mchechu ipo wapi!?

Pia kama hujui, pesa zote anazopata kutokana na mauzo ya nyumba uwa zinatumika kulipa mikopo aliyoichota kwenye mabenki.
 
Watu wana wivu tu na mchechu. Hata rais ana wivu na mchechu.

Watu kibao wanalipwa zaidi ya mchechu ila hawaongelewi. Mchechu yamemkuta hayo kisa tu alikua team lowassa.

Yule mama wa tanzania investment centre anakula 38+m, na wengine wa dawasco,tpdc,tcra,rea nk ila hawaguswi.

Ni wivu tu kwa mchechu. Sioni sababu ya kumuonea wivu mchechu.

Ni wapi Mchechu alitajwa kuhusiana na mshahara wa Tshs. 35 ml?
 
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.

KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.

Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.

Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.

NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.

NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.

Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.

So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.

Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.

Ni wapi Mchechu ametajwa kuhusiana na kupokea mshahara wa Tshs. 35 ml?
 
Kwani yeye tu ndio CEO ambaye shirika lake lina mchango mkubwa? Kwanza sijui NHC inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa. Kwa hoja yako basi DG wa TANAPA ndo anatakiwa ale hela ndefu maana tourism ina mchango mkubwa kwenye GDP ya nchi.
Na bado takribani 60% ya watanzania wanaishi chini ya dollar moja,kama hizo nyumba sio kwa ajili ya manufaa ya umma wasio kuwa na uwezo haina maana
 
Manchester City inamilikiwa na mtu tajiri sana duniani, je ilishawahi fika hata Quarter Finals za CL??

Real Madrid imekuwa club tajiri duniani kwa miaka zaidi ya kumi mfululizo, lakini ilikaa miaka 10 bila kubeba CL..

BTW, Investment za NHC ni favorable.. Deni sio shida, kuna kitu kinaitwa Payback Period.. Baada ya muda hayo madeni yatajilipa na Shirika litaanza kujiendesha kwa faida. Mfano; ukikopa Million 50 ukajenga nyumba then ukaja kuiuza kwa Million 70 hapo umepata faida ya Million 20..
mimi nimesema EPL,
halafu Madrid haijawahi kwa siku za hivi karibuni kuwa na mkusanyiko niliokutajia. Man city wamesajili majembe angalau ndiyo yameiwezesha angalau kupita 16 bora
 
Watz bado tumeathiriwa na fikra za ujamaa,tunachukia sana watu wenye mafanikio,hatutaki kuwatumia kama case study ili na sisi tuwe kama wao.Fikra za namna hii ndio imesababisha Tanzania kuchelewa kupata maendele.Ktk uchumi wa kibepari mwenye bidii na kipaji ndio huzawadiwa (rewarded).
Mtamkumbuka kikwete, ten years mlibembea sana na matusi na kejeli juu kwa wananchi,unatetea mafanikio ya watu waliokwiba pesa za umma,arudi sasa kwenye hiyo asasi hakuna mtu atahoji,nhc ni mali ya umma,

halafu natoa maoni kwa magufuli hawa mameneja na wakurugenzi walipwe mil 2 tu na mawaziri mil 3, kwanza serikali haina pesa, pili kubana matumizi, tatu hizo ni kazi za kuhudumia jamii kama ilivyo kwa walimu na madaktari anae taka afanye huwezi kwendaa!mmetusumbua sana huku kitaa na pesa za ufisadi,

nakumbuka kisa kimoja nilikutana nacho kwa mziba pancha,wakati mimi na bargain jamaa aniuzie tairi used kwa elf 30,akaibuka yule meneja wa bank bot yeye anataka jamaa amchekie upepo matairi,basi jamaa akacheki tairi zote zikawa sawa,akamwambia tayari bosi ni elf 1 alahaulaa! Meneja anamwambia mziba pancha hii ni range wewe kupima upepo sio elf 1,akatoa elf 40 akampa jamaa huyo akasepa zake,sasa si kaniachia msala mimi kabla meneja hajafika mziba pancha alikua anaelekea kunipa tairi kwa elf 30,baada ya kupewa ile 40 kabadilika bwana ananiambi bro hili tairi mwisho elf 50 na yeye nae aka anza kunitia vijembe ananiambia braza magari haya gharama usilazimishe kama vp uza gari yaani ! Nilitoa hiyo 50
 
Kati ya watu m46, hivi yeye tu ndio ana skili nyingi?
skill ya kuwanyang'anya fursa raia waliopewa na nyerere rukhsa ya kuishi mitaa ya upanga kama mindu, na maeneo mengine na kuwapa nafasi wahindi, waarabu na wachina hukuakilipwa na jamii anayowafukuza.
 
Mbona Makocha wa Taifa Stars wanalipwa mishahara mikubwa na tunaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu hawasemi?
Hahahahahaha,mkuu kuna uzi humu yapata wiki moja sasa unajadili mada ya mshahara anaolipwa Mkwasa.
 
DG wa TANAPA alipwe mabilion mangapi!? Unajua sekta ya utalii inaingiza kiasi gani kwa nchi? Au Kamishna wa TRA tumlipe trillion ngapi? Tukitaka kila mtendaji anayekusanya raslimali kwa niaba ya serikali alipwe kulingana na anachokusanya....sijui kama tutafika.

Kwa kukusaidia tu....NHC chini ya Mchechi inatoa gawiwo la mil 200 kwa serikali kuu kila mwaka. Je, faida ya huyo Mchechu ipo wapi!?

Pia kama hujui, pesa zote anazopata kutokana na mauzo ya nyumba uwa zinatumika kulipa mikopo aliyoichota kwenye mabenki.
Tena hiyo ndogo sana... Mchechu anastahili kulipa Million 70 kama wanavyolipwa DG wengine...
 
DG wa TANAPA alipwe mabilion mangapi!? Unajua sekta ya utalii inaingiza kiasi gani kwa nchi? Au Kamishna wa TRA tumlipe trillion ngapi? Tukitaka kila mtendaji anayekusanya raslimali kwa niaba ya serikali alipwe kulingana na anachokusanya....sijui kama tutafika.

Kwa kukusaidia tu....NHC chini ya Mchechi inatoa gawiwo la mil 200 kwa serikali kuu kila mwaka. Je, faida ya huyo Mchechu ipo wapi!?

Pia kama hujui, pesa zote anazopata kutokana na mauzo ya nyumba uwa zinatumika kulipa mikopo aliyoichota kwenye mabenki.
Nashukuru kwa ufafanuzi wako wa kina....haya ndio niliyokuwa nayataka na sio bra bra.....

Kwa mujibu wa maelezo yako( kama ni kweli) basi nami naungana na wadau wanaopinga mshahara wa huyo bwana.....kama hicho ndicho anachoizalishia serikali....
 
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.

KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.

Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.

Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.

NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.

NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.

Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.

So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.

Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Hii ni boomerang effect. Ukiirusha ujue itakurudia. Alikejeli sana watu, mpaka wakajiuliza kijana huyu hii jeuri anaipata wapi? Sema wivu, sema roho mbaya, sisi tunasubiri ushahidi. Mtu aliyekosa unyenyekevu na kudharau watu wenye umri wa wazazi wake lazima amefanya madhambi mengi. Na kama alijipa nyumba naomba itaifishwe mara moja. Akae sehemu ya hadhi yake, lupango.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom