RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,194
- 8,114
Ameamua na misa asalie nyumbani bila kwenda kanisa kuu au!!?Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
p
*** Nchimbi. Where is POLEPOLE!Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kuna wengi hawaujui Ukatoliki kikamilifu, mtu ukiwa kwenye solitude, ni wewe tuu na Mungu wako, hakuna kuonekana in public hata kanisani mpaka kipindi chote cha solitude uliyodhamiria kipite, tena wengine kinaandamana the vows of silence, huongei chochote, ni kula, kunywa na kutafakari kimya kimya wewe peke yako.Ameamua na misa asalie nyumbani bila kwenda kanisa kuu au!!?
Nitamuona na kumfanyia mahojiano baada ya kipindi chake cha solitude alichojipangia kuishaWEWE HUTOMUONA?
Mkuu Dr Matola PhD , asante sana for this, hiki ndicho mimi nilichoambiwa hapaUmeanza kuzeeka, ni hivi sliyeandikiwa barua ni Rais, then Nchimbi akatowa Public notice mitandaoni kwamba amemuandikia barua Rais ya kujiuzuru.
The same day usiku Rais akajibu kwa official Public announcement ameridhia resignation ya Dr Nchimbi.
Kutoonekana hadharani ni issue nyingine, System haiwezi kufanya kosa hilo hata kwa bahati mbaya nakuthibitishia hilo, usalama wa Dr Nchimbi upo chini ya usalama wa Taifa kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi waliopo madarakani na wastaafu wanaostahili ulinzi akiwemo Nchimbi.
Time will tell, lakini ondowa hofu kabisa Nchimbi yupo salama kabisa na analindwa na usalama wa Taifa nakuhakikishia hili siandiki porojo naandika kitu ninachokijuwa kwa
True bro..Kuna wengi hawaujui Ukatoliki kikamilifu, mtu ukiwa kwenye solitude, ni wewe tuu na Mungu wako, hakuna kuonekana in public hata kanisani mpaka kipindi chote cha solitude uliyodhamiria kipite, tena wengine kinaandamana the vows of silence, huongei chochote, ni kula, kunywa na kutafakari kimya kimya wewe peke yako.
P
Anatafuna taratibu mafao yake, ulinzi upo, hela ipo, familia salama, what else does a man want?Mkuu Dr Matola PhD , asante sana for this, hiki ndicho mimi nilichoambiwa hapa
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
Kwa wale wenye imani kubwa, naomba mnianiamini, wale wenye imani haba endeleeni kuhoji maana ni haki yenu
P
Kwenye hili la power, amekubali matokeo, ndio maana yuko solitary kwenye solitudeAnatafuna taratibu mafao yake, ulinzi upo, hela ipo, familia salama, what else does a man want?
Maybe POWER!
Ingekuwa sio huu ujingaKwenye hili la power, amekubali matokeo, ndio maana yuko solitary kwenye solitude
Ingekuwa sio huu ujinga https://www.jamiiforums.com/threads...a-naye-rais-bora-ni-kutoka-ccm-pekee.2466284/
P
CCM wametuletea ushenzi wao.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Wewe ni msemaji wa familia yake?Mkuu Dr Matola PhD , asante sana for this, hiki ndicho mimi nilichoambiwa hapa
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
Kwa wale wenye imani kubwa, naomba mnianiamini, wale wenye imani haba endeleeni kuhoji maana ni haki yenu
P
Mkuu Imma Misala, Emanueli misalaba ,usitake kuniletea misala!,nimesema nilichoambiwa na nimemtaja aliyeniambia!muwe mnasoma linksWewe ni msemaji wa familia yake?
Kama mwl Majaliwa..Mkuu Imma Misala, Emanueli misalaba ,usitake kuniletea misala!,nimesema nilichoambiwa na nimemtaja aliyeniambia!muwe mnasoma links
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
P
Mwenye ile public notice ya Nchimbi aiweke hapa ili watu wamsome vizuri, amestaafu UVP, siasa na utumishi wa umma.Kwenye hili la power, amekubali matokeo, ndio maana yuko solitary kwenye solitude
Ingekuwa sio huu ujinga https://www.jamiiforums.com/threads...a-naye-rais-bora-ni-kutoka-ccm-pekee.2466284/
P
Tetesi za yule mwanaharakati kwamba alikua Lugalo na sasa ukonga prison hazina ukweli au sio!?Kuna wengi hawaujui Ukatoliki kikamilifu, mtu ukiwa kwenye solitude, ni wewe tuu na Mungu wako, hakuna kuonekana in public hata kanisani mpaka kipindi chote cha solitude uliyodhamiria kipite, tena wengine kinaandamana the vows of silence, huongei chochote, ni kula, kunywa na kutafakari kimya kimya wewe peke yako.
P
ni uongo mtupu, we niamini mimiTetesi za yule mwanaharakati kwamba alikua Lugalo na sasa ukonga prison hazina ukweli au sio!?
My Broo Pascal Mayalla tunaomba video ya Kiongozi wetu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi hasa ukifanya mahojiano naye ili tusadiki kwamba yuko hai au kwamba hayuko House arrestMkuu Imma Misala, Emanueli misalaba ,usitake kuniletea misala!,nimesema nilichoambiwa na nimemtaja aliyeniambia!muwe mnasoma links
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
P
Mkuu Imma, Emanueli misalaba, thanks for this, that will be my next episode, ila niamini mimi, wajina wako yuko salama.My Broo Pascal Mayalla tunaomba video ya Kiongozi wetu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi hasa ukifanya mahojiano naye ili tusadiki kwamba yuko hai au kwamba hayuko House arrest
Shukurani sana MkuuMkuu Imma, Emanueli misalaba, thanks for this, that will be my next episode, ila niamini mimi, wajina wako yuko salama.
P