Picha za mitandaoni tu ndugu yangu hata simjuiNiunganishe nae basi huyo muhusika?
#YNWA
Wewe huyo humpendi na sio chaguo lako lkn Kuna wenzio wanaenjoy na wake zao Kama wameoa Jana kumbe miaka 20+ iliopitaSijasema kama anatosha ama hatoshi nilichosema mke anachosha yaani anakinaisha
Hujapenda mkuu hiyo ndo point kuuHata upende vipi kuna time ikifika utamchoka
Mkuu nyie huwa tunawavumilia tu siku ziende na unakuta hamugegedi vizuri wala hamjui kujali twasogeza siku, so kumpata binadamu full package ni ngumu vumilianeni siku ziende za kuishi duniani.


Nawaambiaga watu kila siku....kama demu tu unakaa nae unachoka je mke?Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Naleta Masanduku Ya Kuhesabia Kura Job Atatupa UshirikianoKura ngapi zinahitajika ili hii hoja ipitishwe
NakaziaYamekufika yepi tena?
Asukumwe Ndani HarakaMleta Uzi apimwe mkojo tujue ukweli kabla hatuja weka mawazo yetu
Mleta Uzi apimwe mkojo tujue ukweli kabla hatuja weka mawazo yetu



HahahaAsukumwe Ndani Haraka
Huyu hapanaNaleta Masanduku Ya Kuhesabia Kura Job Atatupa Ushirikiano
Nawaambiaga watu kila siku....kama demu tu unakaa nae unachoka je mke?
Watu wanaoa kuleta viumbe dunian ila sio expectations za kujenga happy life with a partner
Nyie mumemuwazia vibaya mtoa mada hamaanishi kumchukia mke ila kuna ile hali kuzoeana mpaka mnachukulia kawaida yani sasa mkijipa vilikizo vya hapa na pale hali ya kuhitajiana inakua kubwa kama ndo mkali na kawivu kanaingia hapo nguvu ya kumkamia inaongezeka.kwamba ww umeshamchoka mkeo, na yy vp umemuuliza??
Upendo huvumilia n katka kila hali, jitafakari. Mpende mtunze hakika hautamchoka.
Ukidandiwa kila siku lazima uchoke kwa maana ya tamaa inapungua au kuondoka.Wanawake ndio hawachoki