Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
- Thread starter
- #61
Umeshakuwa maarufu mkuu kwa kuandika uzi wenye point kali kiasi hiki. Mnara wa Askari utolewe uweke wa kwako tafadhali.
[emoji28][emoji28][emoji851]watu wanadhani mimi ni maarufu sana jambo ambalo ni kweli [emoji851]