Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,632
Ishu sio matunzo mkuu! Ishu ni kukaa naye cku zote,kula pamoja,kulala pamoja kila kitu.Uzi wa kizembe huu....
Ukigongewa mke unyamaze kimya. Mpe thamani yake uone kama utamchoka..... Unless uwe na matatizo yako binafsi.
Mke ili anoge mtunze vzr kuanzia lishe mavazi, nywele na ngozi. Utakuja kuwaomba mods wabadilishe title ya hii thread
Hata chakula kiwe kizuri vipi ukiwa nacho kila cku kinachosha
