Hata wewe anakuchoka mkuuNdugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Una umri ganiHata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Niko umri wa menopauseUna umri gani
Sikusoma biology ndio umri gani huoNiko umri wa menopause
Umemaliza kila kitu. Mwenye masikio na asikie.Uzi wa kizembe huu....
Ukigongewa mke unyamaze kimya. Mpe thamani yake uone kama utamchoka..... Unless uwe na matatizo yako binafsi.
Mke ili anoge mtunze vzr kuanzia lishe mavazi, nywele na ngozi. Utakuja kuwaomba mods wabadilishe title ya hii thread
Hii ni kweli aisee ndio maana mashemeji hawachoshi maana hupigi kila siku ni mpaka chance ipatikane😂Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Kuna hii falsafa inaitwa HIT and RUN.Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Hata Mimi naitaka hii.Mimi nataka kuolewa ,but kila mtu anaishi nyumbani kwake . Watu wengi wananiambia haiwezekani, ehh mi naamini familiarity breeds contempt! Mleta mada yupo sahihi...
Sure, wanawake ni Tunu. Tuwajali na kuwatunza.True unakuta mtu hamtunzi mke wake hamjali halaf at the same time amemkataza kufanya Kaz kisa alee watoto na hela ya matumiz haitoshi hapo bado hajampa stress za michepuko,unakuta mmama watu yupoyupo tu Hana Nuru usoni.mwanamke akitunzwa huwez kumchoka
Utamudu kuwapa mahitaji yao muhimu???Muhimu kuomba sheria ipitishwe wanaume tuwe tunaoa wake watatu mpaka wanne , hata wakristo
Eti huwa mnatuchoka ee booo!!!, Wakati huwa mnatulilia.Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu