Tuache unafiki tuseme ukweli

Tuache unafiki tuseme ukweli

Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!

Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!

Kuishi na mwanamke nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!

Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Sio lazima kusafiri kwenda mbali, mnaweza mkaenda Lodge, au sehemu nyingine yoyote, pia sio kila siku mnafanyia sex chumbani, mnaweza kwenda hata zizini
 
Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Ndo akashauri wapeane likizo ili kurudisha hamasa
 
Chanzo cha kuchoshana vikuri kutothaminiana neno asante haipo.yaani kuna ndoa ni mfekane war
 
Back
Top Bottom