mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
Leo nina mtoko na babyyy wangu...Jana watoto ndio waliikuwa siku yao kuinjoi sikukuu leo watu wazima ndio zamu yetu...asikwambie mtu nimependeza jamani,babyy nikifika lazima apagawe kama kawaida yake....uko tunapokwenda ni mfuniko kwa kwenda mbele....nimepiga simple sana lakini bring,,,lazima unielewe..nina shati ya blue bahari inavimistari vyeupe kwa mbaaali kwenye mfuko wa shati kuna alama ya mamba wa kijani(original )...nina suruali kadeti slim khaki iliyoiva lui v (original)...nina kiatu cha ngozi cha kuchomeka louis Vuitton simple ya brown mpauko(original) ...mkononi nina saa imesimamisha mnara wa Rolex submariner (original)...kichwani low cut.....ninanukia Aqua Di gio colon(original).....Yani ukititazama kwa haraka lazima urudie tena na tena kunitizama......kwa sasa nipo kwenye foleni namfata babbyy home kwake knyama natamani ata gari ipae babby ndio awe wa kwanza kunisifia....
anyway,ratiba ya leo tutaanzia dinner pale Spur masaki nimemiss caramelized baked chicken wings za pale,,baada ya hapo tutapita newscafee au George kwa ajili ya drink then tutamalizia runway au maisha v.i.p kwa ajili ya muziki baada ya hapo mtuache tulale.... maisha ndio aya aya ukiyakosea mwenyewe usitafute wa kumnunia..