Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Umeona zahanati leo?
Milanzi anamwambia Mayasa
Wewe una shape gani?
Namba Moja haupo, nane haupo, Tisa haupo
 
Aghrr ndo hapohapo bongo movie wanapofeli unakuta stori inaanza vizuri mwishoni sasa utopolo
Fundi ni hovyo sana aisee
Natamani hata waitoe.

Ila nahisi inaishia wiki hii.
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Siyo peke yako dyaa me mwenyewe nikasema mbona Kama siielewi sahivi hii fundi yaani sijui wanakwama(ga) wapi
Kumbe tupo wawili 😂😂😂
Natamani waitoe tu aisee
Hakuna wanachofanya sasahivi
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom