Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

aliyesema fainali ya kila jambo huwa ni uzeeni anastahili tuzo... 😀 😀
 
Ndiyo
Sauti ya Rachel hii
Kaimba vizuri sanaa
Leo nimeangalia zahanat nimecheka sana Bi ubwa anachekesha halaf mbea jamani anawaambiwa Gati na yule whitemaria kuwa kumbe mauja ni mgonjwa anatumia ARV anataka kumuua Ombeni 😂😂
 
Back
Top Bottom