Lilivyolala chiniNiliona nilicheka sana eti kaambiwa na Bi ubwa







Yaani shape yake yule mzee inaniacha hoiAlivyo tumbo na chura kubwaa anachekesha sana na akiongea sasa kwa mbwembwe






Eti mayasa njoo unifungueUkimsimamisha na bi ubwa lazima ucheke




Yashaanza mbonaNasubiria hapa marudio nione
We nae umeanza vizuri ila mbele umeyakanyaga...sasa kupaka mkongo inahitaji uwekezaji gani??kupaka mkongo, ili ugundue nini, unawekeza kwenye vitu vya kipumbavu, shukuru vile Mungu kakuumba endelea kuishi na kutimiza jukumu uliloitiwa duniani.
Waafrika wengi wetu hatujui purpose ya kuwepo duniani, tupo tu..ndio maana tunafanya mambo yasiyo na tija.
Sijui itakuwa nzuri Kama beki3 alijitahidiKwa kweli
Ngoja tuone hiyo ya kina Chuchu inayokuja
Eti naenda kwa mpenzi wangu Bi Ubwa![]()



me tu shape yake Kwanza ndo inaniacha hoi kile kibinda

Alivyo tumbo na chura kubwaa anachekesha sana na akiongea sasa kwa mbwembwe


jamaniBeki tatu alijitahidi sanaSijui itakuwa nzuri Kama beki3 alijitahidi





















Bi Ubwa
Eti piganeni
Uwanja ulee mweupe
Humo kwenye mfuko umebeba Nini?
Anajibu eti nywele zako![]()


bi ubwaa!!

Ya leo hiyo🤣🤣🤣🤣bi ubwaa!!
Nimecheka huyo mzee milanzi anamwimbia mkewe eti asiyejua kusoma nimjinga kabisa barua ikija huitembeza kutwa![]()
Wamekutana pipa na mfuniko🤣ila kimbembe anajua kuigiza naye