Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,150
Njoo weweUnaweza kuja PM kwa dakika moja
Njoo weweUnaweza kuja PM kwa dakika moja
Mkuu unafanya wazee wa dar yetu tupate kupumua kidogo,maana khaaa!Ila wanaume wa mikoani wakorofi... Yani bado na hapa mnaliendeleza?
Wanaume wa Dar msikasirike huu utani sisi Dada zao wa mikaoni tunawapenda Sana hasa kipengele kutafuta hela na kutumia na sisi. Dar ndio mji pekee mwanamke Hana kazi ila anakupa kodi ya NYUMBA laki 4 mkoko wa maana na vacation Dubai Kama kawa. Bila wanaume wa Dar wanawake sisi tu tungekua vijijini huko tunalima.
KekoJames Delicious anatoka wapi jombaa?
HahaIla wanaume wa mikoani wakorofi... Yani bado na hapa mnaliendeleza?
Wanaume wa Dar msikasirike huu utani sisi Dada zao wa mikaoni tunawapenda Sana hasa kipengele kutafuta hela na kutumia na sisi. Dar ndio mji pekee mwanamke Hana kazi ila anakupa kodi ya NYUMBA laki 4 mkoko wa maana na vacation Dubai Kama kawa. Bila wanaume wa Dar wanawake sisi tu tungekua vijijini huko tunalima.
Njoo wewe
Hata kwako pako ivyoMm nmejaribu naona pamefungwa
Pumueni Dada zao tunawapenda Sana. Achaneni na kaka zetuMkuu unafanya wazee wa dar yetu tupate kupumua kidogo,maana khaaa!
Hata kwako pako ivyo
KigomaJames Delicious anatoka wapi jombaa?
Karibu tenaDuh!...asante sn
Kaoge katoka mara akiwa mwanume kamili ila alipo fika dar akakutana na wanaume wa dar hali ikabadilikaMusoma alipotokea Anti Kaoge? Huo mkoa, Tarime, Iringa, Mwanza na Tanga unaongoza kwa mashoga.
Kaoge kaanza kuitwa mwanamke na baba yake. Siku anahojiwa role model wenu Diwani alikua kawanyima kuangalia tv yake?Kaoge katoka mara akiwa mwanume kamili ila alipo fika dar akakutana na wanaume wa dar hali ikabadilika
Hapo chachaWakiambiwa wanakasirika.