Tuachane na utani wa Mwanaume wa Dar, turudi Bongo..

Tuachane na utani wa Mwanaume wa Dar, turudi Bongo..

Aisee juzi nilikuwa pub moja opposite na mlimani city, nakuta almost watu wote wanakunywa Savannah na Heineken kwa mbali mpaka nikashangaa, pub nzima niliona meza moja tu imelaza bapa na meza yetu ndo tunakunywa bia zetu hizi ngumngum. [emoji23][emoji23][emoji23]madada poa na mashoga kibaoo, wanaume wanakuja bar na vikaptula vifupii, wakilewa wanavikunja kama vile mtu alievaa surual akiwa anapita kwenye matope mapaja yote nje[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]. Aisee dar kutamu sana unaingia sehem unaagiza safar lager watu wanakutolea macho ka unakunywa sumu!!
Aisee.
Ile bar inajaza balaa.
Ni mishoga na misagaji imejaa pale
 
Jana tumeishangilia timu yetu pale TAIFA mpk kimeeleweka...... muda huo nyie mmejazana kwenye Tv za solar za Mashemeji zenu......
 
Mwanaume wa mkoa amepaki IST
Screenshot_2018-10-17-10-05-18.jpg
 
Aisee.
Ile bar inajaza balaa.
Ni mishoga na misagaji imejaa pale
bora hao wasagaji sio rahis kuwajua, lakn shoga akishalewa tu tabu tupu[emoji23][emoji23]ataanza kukata mauno mara aanze kujibebisha kwa bahasha ake mpaka aibu duh
 
Ndiyo ila viazi vinatoka mbeya kwa mashoga zao
Utuwie radhi wakazi wa Mby green ciudad..... kiujumla chips Mby hazilip k2 makande,matoke dona.... nkam gwangu....for real tunarima viaz ila atujawai podoa kam wanaume a dar aka kumbwan
 
Cha ajabu walio mikoani ndoto zao ni kuja kuishi Dar hapo ndo hua siwaelewi hawa wanafiki
 
Niko dar,ila kweli kuna vitabia vyaki bwege baadhi huvifanya,kuna video moja niliiona bwege moja linapewa kitu fulani na mdada huku akimwambia``NAKUPA KITU HIKI KIWE MWONGOZO WA MAISHA YAKO``basi jamaa linalia unaambiwa lafuta kamasi, mpaka mc akaondoka mc mwenyewe alikuwa ni msanii wa bongo muvi.kikweli yasemwayo humu niyakweli kabisa
 
Niko dar,ila kweli kuna vitabia vyaki bwege baadhi huvifanya,kuna video moja niliiona bwege moja linapewa kitu fulani na mdada huku akimwambia`NAKUPA KITU HIKI KIWE MWONGOZO WA MAISHA YAKO`basi jamaa linalia unaambiwa lafuta kamasi, mpaka mc akaondoka mc mwenyewe alikuwa ni msanii wa bongo muvi.kikweli yasemwayo humu niyakweli kabisa
Alikuwa jamaa gani huyo [emoji2]
 
Mie nashangaa sana mwanaume mzima eti unaenda salon kuoshwa na kusuguliwa miguu na kukatwa kucha unakuta limemwekea mguu mwanaume mwenzie amsugue miguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wanaume waDar mnafeli sana yaan
 
Back
Top Bottom