Tuachane na utani wa Mwanaume wa Dar, turudi Bongo..

Tuachane na utani wa Mwanaume wa Dar, turudi Bongo..

Mimi nadhani kila kitu kilichopo hapa Duniani kina sababu zake na sababu hutangulia kabla ya uwepo wa kitu chenyewe, pia jina hili nadhani ipo sababu mahususi iliyopelekea kuwepo, na nadhani inajulikana au kama haijulikani itafutwe halafu ifanyiwe uchunguzi na kisha kuanza kampeni ya kivitendo kuliondoa jina hili nadhani itasaidia, lakni kama ukitaka kuli9ndoa kwa hasira za mitandaoni utasababisha hata wale waliokuwa hawalijui jina hili na wahusika wake wakaanza kujua na kukuta limekuzwa zaidi hata ya sasa.
 
Kaoge kaanza kuitwa mwanamke na baba yake. Siku anahojiwa role model wenu Diwani alikua kawanyima kuangalia tv yake?
Huu ufilauni hata mikoani umeletelezwa na wanaume wa dar,kula chips mayai mwisho wa siku mik***u inatekenya
 
Huu ufilauni hata mikoani umeletelezwa na wanaume wa dar,kula chips mayai mwisho wa siku mik***u inatekenya
Sasa huko Makete na Mbeya mnavyolima viazi hadi chips mnauziana kwa kipimo cha ungo si shikide zina funza au?
 
Mwanaume wa Dar kwenye ubora wake
tapatalk_1539704159463.jpeg
 
😎😎😎😎😛😛😛😛😛🙂🙂🙂 Hapo umewapa wanaume wa Dar Mtihani mkubwa sana huo ; hawatouweza....... Chips Mayai wampe Wema mimba ..........yule mwenzao ilibidi akimbilie sijui China/India akasaidiwe kuwekewa mbegu!!!!!!!! Ndio akafanikiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
 
Nyinyi wanaume wa dar kma hamjawatafunia dada za hao wanaume wa mikoani hawatokuheshimu kbisa.
Hatuna wasiwasi tunajua hamtawaweza maake Dada zetu ni wagumu wamezoea kula Dona na mtama ukikompea na ninyi wala sembe, chips na kuku wa maabara.
 
Huu utani hauna tija. Kwanza unadhalilisha.. Tungekuwa ni nchi ya kistaarabu, watu wangeshitakiana kwa kuitwa hivyo. Ni harassment.
Ni uelewa wako tu juu ya hilo je na hawa wasukuma kupostiwa ka washamba kila siku nao waanze kulialia au wakatae usukuma? Utani ni utani tu hata kama kuna ukweli ndan mwake
 
Back
Top Bottom