muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 254
Habari zenu wakuu
Nmeskia ttcl inaweza kufika mpaka 8mbps na wengine wanadai eti ni bora kuliko smile tz je kunaukweli wowote katika hili na pia je kwenye picha hiyo nlioattach je hio modem ya ttcl inafika mpaka 8mbps.
Majibu yenu ni msaada tosha kwangu
Natanguliza shukrani