Hamna Mkuu hata mimi mwenyewe mkazi wa Dar wanani kera.. Mnara wao kwetu Bar moja aifiki.. Nilivyo nunua line na wakanipa GB za bure nilibidi nitembee umbali wa nusu saa ndio 4g yao ikakubuliSawa tumewasikia,maana nikisema kwamba HUDUMA ZAO BADO HAZIWAFIKII WALIO WENGI NITAONEKANA SIO MZALENDO.
Wako pote pote kwa sasa wao ndio wana cMimi niulize tu, kwani hili shirika ni kwa ajili ya watu wa kawaida au makampuni makubwa ambayo kupitia hayo makampuni makubwa ndiyo watu wa kawaida tunanufaika??
Nmeuliza hivi kwani mimi pia nmewahi pewa kipeperushi chao
Wako pote pote kwa sasa wao ndio wana c
Simamia mkonge wa Taifa na hapo hapo kwa sasa kwa maeneo machache Dar es salaam wanatoa huduma za simu na Internet.
Ile ilikuwa zamani walivyokuwa chini ya Airtel walikuwa hawruhusiwi kushindana nao ndio maana wakawa wanatumia Technologia ya CDMA (unauziwa simu na line) lakini sasa serikali imenunua asilimia zote kwahiyo ingali una simu ya 4g unapata line yao bila shidaAsante kwa kunijulisha, je bado wako na kale kamchezo ka kuuza line na simu au naweza pata line pekee? Msaada tafadhali. Niliwahi sikia kuwa mfumo wa mawasiliano yao hauendani na hizi handset zetu. Technology yao iko juu, sina uhakika kwa hili
Wsmekurupuka sana ni kweli wangeanza kama Halotel na kuweka minara kila kona ndio wawashe mtandao.4G yao imefika mikoa yote? Kwa hapa Dar yenyewe iko sehemu chache.
Je vocha zao ziko kila sehemu kama za mitandao mingine?
Kwa ushauri, TTCL wangetumia business plan ya Halotel. Bila ya kujipanga na kujua ni nini wateja wanahitaji wataendelea kuburuta mkia tu.
Wenyewe kwenye account ya Facebook hawatoi Majibu lakini itakubali kwenye simu yoyote ya 4g lakini kuipata vizuri kama kweli watagonga speed za 300Mbps+ utaitaji simu yenye Lte cat 6 au lte cat 9Ntaitafuta hiyo. Ila inakubali kwenye simu gani? Au hizi hizi za kawaida
Nakubaliana na Weeee 100%, tumeshafika wakati Tanzania tuachane na hii tethering na simu na kuwa na reliable broadband speeds kwa bei rahisi.Mbwembwe tu, hawa jamaa kila siku wanafungua vipya lakini wateja wao unakuta ofisi chache tu ndani ya Dar.
Hadi siku walete true unlimited internet majumbani kwa affordable price ndo nitawachukulia serious, hii ya sasa hivi ya 2MBPs kwa 95K/month ni utani. Give me 1GBPs at home ndo tuendelee kuongea.