TTCL kusambaza huduma ya internet majumbani

TTCL kusambaza huduma ya internet majumbani

Kama Mimi na wewe hatuwezi wapi wenye hela zao watalipia mkuu, usijivishe ujumla wa watanzania wote.
nazungumzia kwa ujumla kwani hali za watanzania si zinajulikana? au unakula na kulala kwa shemeji yako nini wewe.
 
Habari yenyewe imewekwa kwenye jukwaa la siasa
 
okay Ni wazo zuri but wangefikiria hiyo bei.chukulia kwa 100,000 au 200,000 unapata wateja 100,000 lakini ukishusha bei utapata watu million mbili targets zinakua zimetimia.Pia walete mfumo wa WiFi Ili iweze kuwafikia watu wengi Na wafanye internet kua Ni kitu cha kawaida sana
nilichopenda kwenye thread hii ni mawazo huru na yasiyo na matusi.kwenye gharama naungana na wewe kuwa hizo ni gharama kubwa ukulinganisha na aina ya watumiaji active wa mitandao...naona kama gharama zimewalenga mapedeshee na sio kundi kubwa la vijana wanaotumia internet
 
Mkuu tindo kama wanachadema wote wangeweza kufuatilia utekelezaji wa ahadi za CCM kama unabyofanya japo kwa asilimia 25% tu basi Taifa lingekuwa mbali sana.
Tatizo ni kwamba wanachadema kupitia viobgozi wenu wanatengeneza drama zinazotuondoa katika kuangalia utekelezwaji wa ahadi za CCM.
Nina mfano wa uzinduzi wa kiwanda cha LUKU Dar uliofanyika hivi majuzi japo mnajidai hamkusikia.

Things are moving very fast ...na ikifika 2020 Utaona takwimu nzito za utekelezaji wa ahadi za CCM.

STAY TUNED Make a follow up and tell your party to make reviews on how the goverment is performing.
Waeleze kina mbowe waache kuondoa hoja za msingi zinazowagusa wananchi na kusaka kiki.

Kama mna matumbo(guts) leteni hoja kuhusu ahadi za CCM tuwe tubawagaragaza.

Mkuu mimi sio msemaji wa cdm wala mwanachama wa cdm. Mimi ni mshabiki wa kutupwa wa cdm. Badala ya maneno mengi ni vyema ukajiandaa na hilo ombi langu kwani nimelianza na wewe toka December baada ya wewe kutoa angalizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhusu viwanda 100 kila mkoa, ili ujue wewe na chama chako kwamba kuna watu makini tunafuatilia ahadi zenu. Na mfano ndio pale juu nilipokutajia ahadi zilizoota mbawa. Mimi ni mtu makini, najua kuna ahadi za viwanda 100 kila mkoa na vimetakiwa kuanza mapema, kwenye viwanda hivyo 100 ninajua kuna kufufua vilivyokufa na vipya, ila idadi inapaswa kuwa 100. Kwa hiyo ninapokuomba taarifa ya awali ninajua ninachomaanisha. Nasisitiza hao wakuu wa mikoa wanapaswa kukuambia hivyo viwanda vilipo ili tufuatilie wenyewe kwa macho yetu.
 
nazungumzia kwa ujumla kwani hali za watanzania si zinajulikana? au unakula na kulala kwa shemeji yako nini wewe.
Mmezoe kulalamikia kila kitu mnadhani hapa ni mbinguni, nikushauri fresh tu kuwa, tukishindwa mie na weye kumudu gharama wapo wenye fedha zao watamudu, wewe umezoea bando la chuo huwezi.
 
Gharama za intaneti majumbani kwa shs2 100,000/- hadi 200,000/- kwa mwezi! This is ridiculous, labda iwe ya kulipia kadiri unavyotumia (Luku Internet), vinginevyo wanataka kuifilisi TTCL kwa hiyo gharama watayotumia kama investment cost.

Vv
 
Tuliambiwa Gas tutafungua majumbani kama Maji, Siku zinaenda miaka inakata!
Ngachoka kabisa
 
Kwa kasi hii ya ongezeko la umaskini ni wangapi watamudu hiyo Huduma?
 
Mkuu mimi sio msemaji wa cdm wala mwanachama wa cdm. Mimi ni mshabiki wa kutupwa wa cdm. Badala ya maneno mengi ni vyema ukajiandaa na hilo ombi langu kwani nimelianza na wewe toka December baada ya wewe kutoa angalizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhusu viwanda 100 kila mkoa, ili ujue wewe na chama chako kwamba kuna watu makini tunafuatilia ahadi zenu. Na mfano ndio pale juu nilipokutajia ahadi zilizoota mbawa. Mimi ni mtu makini, najua kuna ahadi za viwanda 100 kila mkoa na vimetakiwa kuanza mapema, kwenye viwanda hivyo 100 ninajua kuna kufufua vilivyokufa na vipya, ila idadi inapaswa kuwa 100. Kwa hiyo ninapokuomba taarifa ya awali ninajua ninachomaanisha. Nasisitiza hao wakuu wa mikoa wanapaswa kukuambia hivyo viwanda vilipo ili tufuatilie wenyewe kwa macho yetu.
Mkuu yupo msemaji halali katika sekta ya viwanda kwa nini unasisitiza mimi ndio nikuletee?hivi kuna sehemu specifically nilikuahidi kuwa mwezi wa tatu nitakuleta updates za ujenzi wa Viwanda?
Unataka kunichomekea hoja ili nisiaminike?
By the way nafurahi sana unavyofuatilia kwani na mimi nafuatilia vilivyo na nina uhakika kuwa turapata takwimu za progress ya ujenzi wa viwanda yenye kuonesha ni kwa jinsi gani tunaweza kutekeleza ahadi.

Hoja yangu kwako ni kwa wewe na chama chenu kuonesha upinzani kwa kuhoji utekelezaji wa ahadi za CCM ...kupitia hilo mnaweza kuwa threat kubwa kwa CCM kwa kiasi cha kutisha na hapo hapo mkasaidia maendeleo ya Taifa na sio kutuleta drama za ajabu ajabu.
 
Laki moja ni kubwa sana kwa Watanzania walio wengi
Mkuu, hii ni unlimited internet unaunganisha kwenye smart TV, TV Box, decoder, laptop, unatumia WiFi, yaa

Sisi tusio na uwezo kweli tunaona hela ni nyingi, ila kwa kiwango hicho kwa mtu mwenye uwezo wake kawaida ataona.
 
Adhani imeandaliwa kwa watanzania wachache wenye uwezo kwa kiukweli laki moja mpaka mbili kwa nchi ya dola 2 kwa siku! Ngoja tuone!
 
Yaani laki mbili ndiyo bei rahisi. Kumbuka linaebdesha na kodi zetu tulipe kuendana na matumizi ya mteja
 
Back
Top Bottom