TTCL kusambaza huduma ya internet majumbani

TTCL kusambaza huduma ya internet majumbani

je ? ukiwa ktk misele mtaani unatumia net hiyo hiyo , nadhani wangefanya 10,000 tu maana Halo tell GB 7 kwa 10,000 afu natembea nazo c hadi nende Home
 
All those are RUBBISH if HUMAN RIGHTS are violated, for what ma internet! , tupa kule takataka. We need freedom, freedom , freedom!
“I Cry For Freedom” - Yvonne Chaka Chaka
The world of reality has its limits; the world of imagination is boundless.
By Jean-Jacques Rousseau
 
Kama vile unakasirikia maendeleo?
After soo many years.maji yanawashinda internet mtaweza?huko mbagala, mtoni, kimara na kwingine hawajui mambo ya bomba na mmeshindwa kisha mnaleta ngonjera za internet hapa.
 
Laki ni nyingi kwa internet ya nyumbani kwa mwezi maana kama unatoka asbh unarudi jioni au usiku hayo matumizi yako yatakuwa madogo sana.

Hiyo waseme ni kwa watanzania wa hali ya juu tu
 
Hahaaaa... Wewe jamaa huwa unanifurahisha hivi lumumba wanakupa shilingi unipigie mchongo man..
Ha ha ha!Lazima unitajie dau lako la ufipa kwanza!
 
Hayo ni maneno tu ttcl chali kifo cha mende,vipi naskia airtel mali yetu ila mpka leo mmeshindwa hata kuweka mgambo wenu getini
 
Kupitia huduma hiyo mteja atapata intaneti ya kasi isiyo na ukomo kwa gharama ya kuanzia Sh100,000 hadi Sh200,000 kwa mwezi

Si ndiyo mshahara wa mfanyakazi kwa mwezi huo
 
okay Ni wazo zuri but wangefikiria hiyo bei.chukulia kwa 100,000 au 200,000 unapata wateja 100,000 lakini ukishusha bei utapata watu million mbili targets zinakua zimetimia.Pia walete mfumo wa WiFi Ili iweze kuwafikia watu wengi Na wafanye internet kua Ni kitu cha kawaida sana
 
Hivi unamaanisha hawa hawa TTCL wenye wateja wa landline 127,000 tangu uhuru? Au ni wengine wamekuja?
 
Back
Top Bottom